SAA MBOVU NOMA

[emoji23][emoji23][emoji23] saa mbovu kamwaga mboga baada ya tigo kamwaga ugali
 
Huyu saa mbovu anatufa BAN huko tigo hahahahahahahahh
 
Aisee ile ratio ya mmoja kati ya wanne iangaliwe upya, huenda saivi ni 3:4.[emoji23] [emoji23]
 
Yupo sawa kabisa kama wao hawataki maelezo binafsi wan hakika gani kama matangazo yao au msg kila mtu anayahitaji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…