Bado kinda yuleVyote fanyeni ila Bocco msimuache!
Kweli kabisa, hatujazoea makocha wasioyumba na wenye misimamo ila itabidi tuzoee tu.Msimamo ndo unaofaa hakuna kuwaangalia watu machoni, ingawa wengine wanaogopa je akiwaacha baadhi ya wachezaji timu itakuja kupata chemistry mapema? Watu kama hawa ni kuwaaga tu kiroho paka
1.Saido ( umri umeenda )
2.Chama (nidhamu na umri)
3.Kramo ( mchezaji kamaliza msimu bila kucheza majeraha sugu
4.Bocco ( huyu umri na hana msaada tena)
5.Kennedy ( huyu yupo yupo tu)
6
Sent using Jamii Forums mobile app
Muweke na onana...kiufupi wageni wa kubaki kwa upande wangu naona.Chama na Ntibanzokiza hata asijiulize mara mbili
ongezea;Msimamo ndo unaofaa hakuna kuwaangalia watu machoni, ingawa wengine wanaogopa je akiwaacha baadhi ya wachezaji timu itakuja kupata chemistry mapema? Watu kama hawa ni kuwaaga tu kiroho paka
1.Saido ( umri umeenda )
2.Chama (nidhamu na umri)
3.Kramo ( mchezaji kamaliza msimu bila kucheza majeraha sugu
4.Bocco ( huyu umri na hana msaada tena)
5.Kennedy ( huyu yupo yupo tu)
6
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mangungu na Try again hao kuwatoa pale ofisini ni ngumu labda uchome ofisi[emoji23][emoji23]Kama ni ya kweli basi ngoja tuone, nijuavyo mimi BENCHKHA ni zile type za watu ambao wao wakilala wakiamka wanawaza kazi zao tu yaani yupo tayari ashinde ofisini siku tatu bila kukanyaga kwake, pia ni mtu wa misimamo mikali, anachojali yeye ni mafanikio full stop. ukimletea za kuleta anakuondoa au anakuachia kazi yako, pia ni mtu anayekwazika haraka yaani hasira zipo shingoni, ni mtu anayejali sana cv yake na mafanikio yake ni mtu asiyependa kelele wala kukosolewa mwisho kabisa ni mtu asiyeishi kwa kutegemea sifa za mashabiki yeye huamini ktk mipango yake. AKIMALIZANA NA WACHEZAJI ANAYEFUATA NI MANGUNGU NA TRY AGAIN tofauti na hapo atawaachia timu yenu kabla ya krismas
Kama kocha hakubaliani na wachezaji nami nuunga mkono.Wakuu,
Kocha mkuu Benchika inasemekana amenyoosha rula. Rula yenyewe sio ombi ni maelekezo kwa viongozi!
Huyu anaweza kuwa kocha wa kwanza wa kigeni asiyeogopa mtu kwenye kazi yake. Aliletewa mtu ikabidi apitie mlango wa trial akamla kichwa fasta bila kuuliza aliyemleta [emoji23]
Inasemekana akitokea popote kambini ni kama Simba mwenye hasira ameingia na wachezaji wanamuogopa, hataki mchezo na mipango yake.
Sasa huko ametoa profile anataka washambuliaji wa aina gani na sio vinginevyo. Kuna majina vipenzi vya mashabiki yapo hati hati watu wanatafutana kuweka mambo sawa [emoji23]
Ila tutatoboa tu! Simba nguvu moja [emoji123]
Roho ya teamVyote fanyeni ila Bocco msimuache!
Huyu lazima aendelee na timu
Mkimuacha huyu mtajutaMsimamo ndo unaofaa hakuna kuwaangalia watu machoni, ingawa wengine wanaogopa je akiwaacha baadhi ya wachezaji timu itakuja kupata chemistry mapema? Watu kama hawa ni kuwaaga tu kiroho paka
1.Saido ( umri umeenda )
Nidhamu!? Anyways labda2.Chama (nidhamu na umri)
Sasa amesharudi na baada ya kurudi akaomba abadilishiwe jezi na uongozi umempa nyingine ma ile ya Kramo akapewa avae yule wa Majaribio matokeo yake na yeye ile jezi ikamtandika ma kuonekana kama tembele mbele ya meza yenye makuku, vitimoto na na mbuzi choma3.Kramo ( mchezaji kamaliza msimu bila kucheza majeraha sugu
Mvumilieni kwa misimu miwili zaidi hadi hapo Aishi Manula atakapokuwa tayari.4.Bocco ( huyu umri na hana msaada tena)
Wakuu,
Kocha mkuu Benchika inasemekana amenyoosha rula. Rula yenyewe sio ombi ni maelekezo kwa viongozi!
Huyu anaweza kuwa kocha wa kwanza wa kigeni asiyeogopa mtu kwenye kazi yake. Aliletewa mtu ikabidi apitie mlango wa trial akamla kichwa fasta bila kuuliza aliyemleta [emoji23]
Inasemekana akitokea popote kambini ni kama Simba mwenye hasira ameingia na wachezaji wanamuogopa, hataki mchezo na mipango yake.
Sasa huko ametoa profile anataka washambuliaji wa aina gani na sio vinginevyo. Kuna majina vipenzi vya mashabiki yapo hati hati watu wanatafutana kuweka mambo sawa [emoji23]
Ila tutatoboa tu! Simba nguvu moja [emoji123]
nimesema hivyo kwa sababu hata akifukuza hao akina ntibanzokiza ataletewa type hiyo hiyo ya wachezaji si unaona ingizo jipya BABACAR SARR unaweza kuniambia kaletwa na nani hapo simba?Mkuu Mangungu na Try again hao kuwatia pale ofisini ni ngumu labda uchome ofisi[emoji23][emoji23]
Onana unamjua visuri na unamjua unamuongelea nani?Onana ni mchezaji wa kimataifa nakushauri uachane na wivu na roho mbaya...Muweke na onana...kiufupi wageni wa kubaki kwa upande wangu naona.
1.Ngoma
2.Kanute
3.Sarr(kwasababu ndo ameaajiriwa)
4.Inonga
5.Chemalone
6.Ayubu
Wa kupewa angalizo msimu uliobaki wawe
1.Phiri
2.Miqson
3.Kramo
Waliobaki piga panga tukianza na hawa
1.Onana
2. Saido
3.Baleke
4.Chama
Kwa wazawa
1.Bocco
2.Bocco
3.Bocco
4.Bocco
5.Bocco
6......
7......