Saa 21:16

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
1. Usitishie kuhama Chit Chat huku unaipenda, matokeo yake waja na ID nyingine kusumbua watu.
2. Sio, kila ujisikiapo kuweka uzi nawe uweke hata kama hauna maana, mnajaza Server na pia mnatia uvivu kwe jukwaa na mauzi uchwara.
3. Ukiona mtu kakwuza mfate PM mchane live, akishindika waambie wadau, wamfanyie hadi aone jukwaa halifai.
4. Na ukiwa na hasira usilie nenda jukwaa la jokes au nitafute mimi nikupoteze hasira.
5. Hata ukiamaa jukwaa usifungue ka ID Ka kuja kutusumbua huku, heshima ichukue nafasi.
6. Ukae siku zote humu Jf ukijua hakuna alie kulazimisha kuingia humu, so ukijisikia kuondoka kama ulivyo ingia pasipo kuwasumbua member.
Wadau Wote tuacheni madharau na utumbo utumbo.
 
7.kama unaona CC ni kuoa na kuolewa nenda love connect
 
Umoja wetu na ukali wetu utaweka hali ya hewa umu vizuri. Mie, mmoja ambae nimebadilika kutoka na baadhi ya watu kunikazia, ki ukweli ilifika kipindi nikafungua ki ID ili niingie kwa style nyingine, ambavyo vyote vilikua upuuzi mtupu.
Ahsante manoah kwa kuwapa makavu live!
 
Last edited by a moderator:
Hili kwa izi siku za karibu limezidi, na wanao leta izo issue wote ni wapya yani wanatumia ID mpya, kwanza nahisi wengine ni wanaume wanafanya kuwa koli wenzao, kumbe watu brain na utashi vimekamilika hatutegeki kizembe zembe.
7.kama unaona CC ni kuoa na kuolewa nenda love connect
 
Yote tisa member wa chit chat niambieni mmemuuza wapi shost wangu Ciello Meezy Paw Buchanan Fang please samahanini sana hata kwa PM naomba nijulishwe where is ciello pliz jamani hata ID yake not exist hii hata sio Ban kabisa au kajitoa kabissaaa au Bishanga kafanya mambo yake au
 
Last edited by a moderator:
ID mpya nyingii, kila ikiingia inatafuta mtu, humu CC inaonekana kama jukwaa ambalo mda wote ni story za mapenzi. Sito shangaa kuona Filipo au Bishanga kwa amu ila nashangaa hawa wapya tena hadi wanaboa kila mpya anataka ndoa duh! Hadi inafikia kipindi unachoka, waje basi na style za kutaka hata urais au uwaziri mkuu wa CC sio kila anae ingia anataka kuoa au kuolewa, izo swaga zipitwe na wakati my brother Arushaone
Hapo umeteleza Smiling Saint! FYI ndoa za hapa CC ni za ki-chitchat zaidi. So please kindly futa kauli sasa hivi kabla hasira hazijanipanda meen!!!
 
Last edited by a moderator:

Yaani shosti nivea acha kabisa!
Nimemmiss huyo mdada mpaka basi,yaani hata Id yake hai exist,hii ni balaa!
 
Last edited by a moderator:
Sina imani na wanao aga na kudai wamejitoa, ndio hawa hawa wanakuja kutusumbua na ID zao mpya humu ndani, matokeo yao wana leta Ban sizizo na tija.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…