S3 kwa bei ya 300,000

S3 kwa bei ya 300,000

1000 words

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
169
Reaction score
32
Habari. Samahani zipo s3 mbili bei ni 300,000 kwa ya silver na 350,000 kwa nyeupe. silver internal memory ni 16 GB na nyeupe 32 GB. zipo katika hali nzuri unarusiwa kuziona kukagua ukiridhika tunafanya biashara. Napatikana kurasini chuo cha uhasibu.

Kwa mwenye kuhitaji anicheki namba 0716651695.
 
Back
Top Bottom