Rwandans re-entering Karagwe en masse

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,229
662
Rwandans re-entering Karagwe en masse

Tunaweza kupeleka majeshi Comoro lakini mipaka yetu hatuwezi kuilinda na huyo Jemedari ati alikuwa mwanajeshi - AIBU HII!
 
Rwandans re-entering Karagwe en masse

Tunaweza kupeleka majeshi Comoro lakini mipaka yetu hatuwezi kuilinda na huyo Jemedari ati alikuwa mwanajeshi - AIBU HII!

Mkuu Dua, taarifa haielezi iwapo wamekimbia usalama huko kwao au ni wakimbizi wa kiuchumi wanaotafuta malisho ya mifugo yao.

Nadhani hatujafikia hatua ya kuwatishia majirani zetu kijeshi hata kama uwezo tunao.
 
Ndugu Kakalende,

Hawa wahamiaji haramu lazima wafuate sheria na taratibu za uhamiaji za Tanzania.Haiwezekani watu kuhamia kiholela tu na kuanza kulisha mifugo au kujitwalia ardhi na kulima.Wafuate taratibu na sheria za uhamiaji wa Tanzania na kamwe hakuna atayewabugudhi.
Kumbuka mambo ya Banyamulenge kule DRC-Congo,walihamia kiholela kutoka Rwanda na baadaye wakaanza kutengeneza nchi yao ndani ya nchi nyingine(DRC-Congo).Hivyo kamwe hatuwezi kuruhusu haya makosa kujirudia tena katika Tanzania.
Sasa tunaomba ndugu Rashid Othmani na vijana wake wafuatilie hizi taarifa na kuwapa polisi na mamlaka nyingine ili kulidhibiti hili suala mara moja.

-Wembe
 
Banyamulenge kule DRC waliingia kwa staili hiyo na sisi tunachelea jambo hili, sasa wale jamaa waliokulia makambini Tabaora na mpanda nao wanajiita watanzania tena wana uchu mkubwa wa mamlaka,jasiri haachi asili waungwana.Tujiangalie sana wamasai wanatutosha waachwe wao wafunge sana wageni waje kwa Visa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…