Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

Mkuu hapa anatakiwa kujibu Membe au Sitta?, anyway nimeona kuna thread humu ndani inasema PK atafunguka leo jioni, ngoja tuone kama atamjibu mkuu mwenzake, sidhani kwa hatua ya sasa Membe au Sitta anatakiwa kusema jambo
Kazi za waziri wa eac sitta ni nini????? Vikao vinafanyika ata kutoa taarifa; toa msimamo wa serikali anakaa kimya; sioni kwa akili yangu anamkomoa jakaya kikwete ila anakomoa watanzania. Rwanda waziri na anajibu kwa niaba ya rais kp
 
Na wewe tafuta busara ni lini Kagame kaingilia nchi yetu, tunachongelea ni DRC na sisi tumepeleka vikosi huko.
sasa km una hamu mwambie afuatilie zile Ng'ombe walizoacha shemeji zake kule Kagera yaani tujue tu km kaingia ndani ya ardhi kijeshi km Nduli wako, maana yeye KAGAME si Commender in Chief wa M23
ndipo hapo tutakapomtaja[/QUOTE]

Una kichwakizito kama KJ! NASEMA KAGAME ANAMFANANISHA JK NA IDD AMINI!!
 
 
Kiasi Kikwete ajibiwe maana Tanzania kuna madudu hayasemeki lakini wanafutika na kujitia kimbelembele kuyaingilia mambo yasiyotuhusu wakati sisi wenyewe mikono yetu imejaa damu za akina Mwangosi, kibanda, Wa-Zanzibari, WaArusha, WaTarime na nyengine nyingi
 
Lousie Mushikiwabo apewe kusoma diplomasia chuo cha diplomasia kurasini maana hana adabu ya kidplomasia. Hivi kesho akijikuta mkimbizi ngara atasemaje kwa tanzania?
 
 

Umenena kweli ndugu.. kagame is full of human blood in his hands. Nia yke ni kutengeneza bahima empire ndo mana analeta chokochoko huko Kongo. Na nia yke ni kuleta hapa TZ hayo anayoyafanya huko DRC kwa sasa...that dream will never come true kwa TZ. Ni kweli WaTZ twahitaji kuwa makini sana na watutsi..ni watu waliojaa hila za kishetani..waliotayari kuuwa ili mradi wawepo madarakani. Ni waongo na wapiga propaganda wazuri...mfano walisababisha genocide ambayo watu wengi (both hutu and tutsi) walikufa...lkn angalia sasa wamegeuzia kibao wenzao wahutu. Sasa hivi wamekua wakikataa kwa nguvu zote kuwa the rwanda govt doesnt assist m23 in DRC..but the whole world knows they are doing so. Ni watu waliokosa aibu ya kusema uongo. Ila sasa hivi wameumbuka...hawana pakushika tena.
 
Mungu atuepushie vita katika nchi yetu ya Tanzania na atulize vita zinazo endelea katika nchi zingine. Vita vinaleta madhara makubwa sana, watu wanakufa, wanakua vilema, uchumi una anguka. Panapotokea tetesi la vita basi kuna watu/makampuni ya nje wanao shangilia jambo hilo, ni hao wanao uza silaha, na hao wanao subiria kuichuna nchi baada ya uchumi kuanguka. Kila risasi inavyo fyatuliwa kuna mtu anakua tajiri, yule muuzaji wa silaha, kwa hiyo yeye anafurahia sana jambo hilo la vita. Na pia nchi za nje zinakuja kununua resource zetu tulio kuwa nazo kwa bei ya kutupa. Viongozi wetu wanapashwa kulijua jambo hilo, yes Nadhani wanalijua lakini wao hawa jali kwani siku wakishindwa wana kimbilia huko walikoziweka mali zao na kuishi kama kawaida, Je wewe askari uliopigana utakua na kitu gani, utabaki na nini? Sasa leo hii Kagame hataki ushauri alio pewa, basi inamaana yeye amedhamiria kulipiza kisasi kwa watu Wake alio wapoteza. Yeye anaona is okey kununua silaha na kuwa tajirisha hao wauza silaha. Karne hii sio ya kupigana kwa SILAHA. ni ya kupigana kwa MANENO. Watanzania tuungane na kuudumisha amani tuliokuwa nayo.
 
kwa hili la kagame sasa liwe fundisho nchi yetu ipo hatarini sana, maana inao wanyarwanda wengi katika system most of them naming themselves wahaya, utashangaa wengine wapo usalama wa taifa, hawa wanapeleka taarifa kwa kagame na ndiyo maana anapata jeuri ya kumjibu Kikwete na tanzania.
tunao mfumo mbaya sana wa kuajiri na kuwapatia watu nafasi nyeti za uongozi bila kujua historia zao siku moja ili litatutesa.
nakumbuka tulikuwa tunasoma na jamaa mmoja akijiita muhangaza, mara tu baada ya rwand kulipuka 1994 jamaa alipotea ghafla na nilikuja kutana nae 2008 akiwa ofisa mkubwa katika jeshi la rwanda by then tulikuwa form II, tujiangalie sana anayoyasema kagame ujasiri wake si wa bure unajengwa na watu tulionao kwenye system ya utawala mnao waita watanzania kumbe ni wanyarwanda tena watutsi.
 
Tulianza na Uganda, Malawi na sasa ni Rwanda tuangalie maadui uanzia ndani.
 
"
Tatizo humu jamvini tumechanganyikana na Wanyarwandwa waliotumwa na kagame wewe Mvuni ni mmoja wao tunaongelea mambo kati ya nchi mbili tofauti, tunajua udhaifu wa ndani lakini anachofanya ndugu yako kagame siyo wewe muache abeep matatizo watu kama wewe tunaomba muwahi kuvuka mipaka mwende Rwanda fasta!
 

This is absurd. Yaani mkuu umetunga assay kwa kutumia mishaps za JK ili utuambukize chuki zako binafsi kwa JK. Tell us where JK went wrong on Rwanda issue. Judge him on that, only that. Don't go into garbage bin digging some dirty to prove that JK is wrong on Rwanda. If you have issues with JK start a specific thread on that and I am pretty much sure you will get some contributions from crying babies.

Don't wrap-up your non-patriotic argument by only saying we should take a step back without elaboration of the points to be considered with regards to the issue in question. Tell the great thinkers of JF where you think JK went wrong on Rwanda issue. So what are you saying; that Kagame has had no mishaps in his administration? That he has not consistently shown some weaknesses and wrong doings that qualify him insane? How many people Kagame kills per day, how many Kikwete kills? You do the math. How many Rwandese refugees abroad has Kagame caused? Travel to the US and Canada and tell me if Kagame has united the Tutsi and Hutus living in those country or see if the two tribes abroad have become friendlier during Kagame administration. So you still think Kagame is sane? We are told now that he kills anyone found to have some affiliation with Tz government officials in his army and government. Is JK killing any person that opposes him? Why should we question JK's ability to govern?

Kagame, for your information, never liked Tz since he got his gun bring him to power. This is due to the fact that Tz supports DRC in her struggle to free from foreign troops especially m23. Kagame believes that he can stay in power as long as m23 fight from DRC land. These are facts, facts that have nothing to do with JK's ability to govern Tz. So when you call for right minded JF members to question JK on Rwanda issue you just mark the lowest you can go. For, the impending war between Tz and Rwanda is historically rooted. It is irrespective of who rules Tz but Rwanda, if you wanna put it differently. The same goes for Malawi issue.
 

Ndugu, I cant thank you more for hitting a nail on the right place! Sijui watu wengine wanawaza nn vichwani mwao!? When it comes to issues of National interest we should firmly and patriotically stand with our Leader. Kagame is a killer but GOD is about to judge him sooner...
 
Ukweli utatuweka huru. Rais wangu JK anatakiwa kumtaka radhi Rais Paul Kagame baadala ya kurushiana matusi. Ni vipi anayeibiwa aambiwe wayamalize na mwizi wake? nadhani Rais wangu kwa ushawishi alio nao alitakiwa kwenda upande wa pili kuwataka wapatane na Kagame,au alitakiwa kuja na proposal kwa Kagame ya jitihada zake za upatanishi kwa namna alivowashawishi waasi. Lakini pia kama alitaka kumshauri Paul Kagame alitakiwa kukutana naye waongee wenyewe. Mwisho nimwombe Rais wangu JK asigeuze tofauti zao wawili kuwa tofauti za nchi hizi mbili. Hakukuwa na sababu ya JK kutuambia watanzania mipasho mnayopeana na PK kabla ya kutuambia ufumbuzi wa milipuko ya mabomu,kumwagiana tindikali,watu kung'oana meno na kucha,watu kupigwa bastola mchana kweupe,Waziri mkuu kuagiza raia wapigwe na police ukiachilia mbali pengo la walio nacho na wasionacho linavokuwa kwa kasi,ufisadi,kuporomoka kwa elimu nk
 

Mbona mpiga zee anaongea kama mnyarwanda....kule kurejea rejea "sisi wabongo" naona kama ni kujitoa kimaso maso ili aonekane mtanzania, ilhali ni mnyarwanda mwenye nia ya kutuparaganya! Inawezekanaje kulinganisha issue ya watoto wa shule na issue hii inayojadiliwa....anatulazimisha tufikirie issue nyingine na tusahau uzalendo!!
 

Miaka kumi mfululizo (yes, Ten Continuous Years) Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania. ina maana moja tu, kuwa hajaboronga kipindi chote hicho na kafanya vizuri sana. mpaka anakabidhiwa hii nchi ndipo alipokabidhi huo uwadhifa kwa mwingine.

Isitoshe, leo hii tunashuhudia jinsi alivyo mwana diplomasi hodai na mahiri wa kusifika. Rais wa Mwisho kumuaga Bush kwa ziara ya Kitaifa kabla ya kumaliza uongozi wake na Rais wa kwanza kutoka Afrika kukaribishwa rasmi na Rais Obama mara baada ya kutwaa madaraka.

Isitoshe, tunaona wimbi la wakuu wa dunia wakimiminika Tanzania na tunaona wimbi la wakuu wa dunia wakimualika Kikwete kila pembe ya dunia. Madogo hayo?

Hata kama una chuki binafsi na Kikwete kwa hili la diplomasia, "ume bugi maaaan".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…