hiyo yote ni kwa ajiri ya maendeleo sio fashion, shida yetu ni maendeleo na kuridhika nayo, haijarishi anatuongoza nani kwa muda gani, sisi wasukuma tumeongozwa na mtemi kwa miongo kibao, wahehe walitawaliwa na ukoo wa mkwawa kwa miongo mingi sana, usifikiri waingereza hawana akili kuongozwa na ukoo mmoja bali wana akili na wameridhika na utawala