UN? Teh teh ... Shirika au taasisi gani ya UN? Unaweza kutupatia link yoyote ya UN yenye press release hiyo apart from wack ass blogs zisizo ma mbele wala nyuma?by the UN! unbelievable isn't? na bado, struggle continues...
UN hawajatoa tamko hilo, hakuna kitu kama hicho, hizo ni propaganda ambazo ni watu kama wewe ndio huziamini na kutumia kama reference.Named cleanest city in Africa by who?[/Qy
You just try to google "the cleanest city in Africa" then follow whatever link you will find, after that you can prove otherwise.
kwa hiyo wewe hadi kitu kiandikwe na BBC, Reuters, CNN... ndio uamini? hata wao huwa wanachomekea... huo ni upumbavu ndugu yangu! Rwanda hata sio mbali, kwa nini usije huku uangalie mwenyewe?UN? Teh teh ... Shirika au taasisi gani ya UN? Unaweza kutupatia link yoyote ya UN yenye press release hiyo apart from wack ass blogs zisizo ma mbele wala nyuma?
Usiyeyushe ... Onyesha link yeyote ya UN na umtaje spokesperson yoyote wa UN na urupe tarehe ya hiyo statement humuhumu Leo, sasa hivi.kwa hiyo wewe hadi kitu kiandikwe na BBC, Reuters, CNN... ndio uamini? hata wao huwa wanachomekea... huo ni upumbavu ndugu yangu! Rwanda hata sio mbali, kwa nini usije huku uangalie mwenyewe?
Usiyeyushe ... Onyesha link yeyote ya UN na umtaje spokesperson yoyote wa UN na urupe tarehe ya hiyo statement humuhumu Leo, sasa hivi.
Haijali shirika gani LA habari Ila tujue kama ni Ban ki moon au nani kutoka YN alitangaza hilo.
Medium mean a platform where something is done or transmitted, now what has been transmitted and from who, is very important to me.
Plz tell me who, from UN said that.
Hii ya Kagame haiwezi kutokea Tanzania hata kama Magufuli ana uwezo wa kutembea juu ya maji. Upinzani (vyama) Tanzania umeshamiri vizuri sana na hawawezi kamwe kuruhusu huu upuuzi wa Rwanda.
Kama Magufuli akiendelea hivi mpaka 2025, atakuwa ameweka mikakati (institutional structures) itakayo hakikisha uongozi bora haumtegemei raisi pekee. Pia raisi mpya atakaechaguliwa atajihisi amepwaya kama hatampiku Magufuli. Sidhani kama tutarudi nyuma tena.
Achaneni na Rwanda. Wakitaka kuifanya Rwanda iwe Falme (Kingdom) na Kagame awe mfalme wa milele yeye pamoja na ukoo wake, let it be. Kama vyama vya upinzani vya Rwanda wote wamepiga kura kumruhusu Kagame muhula wa tatu (haiingii akilini mwangu), basi wana haki ya kutawaliwa na mfalme Kagame wa maisha.
UN hawajatoa tamko hilo, hakuna kitu kama hicho, hizo ni propaganda ambazo ni watu kama wewe ndio huziamini na kutumia kama reference.
Km ulikuwa umenielewa vzr ilibidi useme mbadala wake yaan jiji safi zaidi ktk Africa. Afu sio kila taarifa lzma uitoe UN tambua kwamba hao UN wana maraisi wao na nchi zao (mashamba ya bibi) ambazo hata zikiboronga wao wanasifia tu.
Lkn #talkandtalk katoa link inayohusu usafi na mipangilio mingine ya kigali so follow that link. And by the way sitak kuisifia saana Kigali coz najua ktk hawamu hii ya tano hata Dsm itakuwa mfano wa kuigwa ktk usafi
mh! so what do you mean? we hate progress? that is how it sounds to me! your hatred is beyond imagination, you want us to hate Kagame because he is performing excellently? I don't think so, we are not that stupid jMali! we have to utilize wisely what God has given us freely! we take a note but we really don't pay much attention on what EU/Americans say about Rwanda, Rwanda is for Rwandans!
In a repressive environment like Rwanda? Ok, before you provide us with those "international recognized metrics" then go ahead and tell us who are those 10 people who dare to challenge the petition signed by approximately 4 MILLION Rwandans or you mean Green party? so do they have only 10 members? if so, why should it be called an opposition party at all? at one point you need to get serious man! FDU is just like the Kardashians, a very famous name but what they do to earn that reputation might supprise you! FDU-Inkingi? what about FDU-Imberakuri or FDU-Imbonerakure? you people need to learn how to behave and abandon hate before we start taking you serious!
well, i was responding in general terms, that democracy is government by people for the people.
there will always be two sides to the story, your explanations can go both ways, if i ask you what is the exactly number of people who oppose Kagame presidency i doubt you will be able to give exact number.
sometimes people change their minds, in Tanzania right now there is a talk for JPM to extend his presidency, constitutions get revised 'sometimes' by the same people who wrote them in the first place. so you shouldnt be amazed by the people of Rwanda for changing their minds.
Hehehe... You are funny bruh! Kasome!UN habitat awarded Kigali the Scroll of Honour Award:
Source:http://mirror.unhabitat.org/downloads/docs/6586_9299_Kigali.WHD2008.pdf
Nchi ni ya wananchi na sio ya vyama vya siasa
Hehehe... You are funny bruh! Kasome!
Umeisoma??That link alone blows your argument to shit,shida sana hater nyie
Sawa bruh! nadhani nazenyewe ni propaganda za UN Habitat ndio maana hutaki kusikiaHehehe... You are funny bruh! Kasome!
Wananchi huru wa nchi moja wakikubaliana na fikra za mtu mmoja basi hapo kuna kasoro. No leader can be that perfect.
Ndio maana tunakuwa na upinzani ili kutoa mwanya kwa watu wenye fikra mbadala. Watu hawajiungi vyama vya upinzani kwa ushabiki tu bali ni kwa ajili ya kutoa changamoto katika mtazamo/mustakabali wa nchi.