We acha jMali huna lolote, sema ukweli… povu lote hilo nikwa sababu sera zako za ubaguzi na mauwaji tumeshaziangamiza kabisa.
1)sasa kama Rwandair haijawahi kuchapisha mahesabuuhujumu wameushtukiaje? Au ulitaka wachapishe alafu wakutumie ofisini kwakoJamii Forum?
2)wewe yani sijui double standard utaacha lini, mbonakule kwenye jukwaa la siasa la wabongo huwa unamfagilia Rugemalila ya kuwa etini mwekezaji? Au yeye peke yake ndiye anaruhusiwa kuwekeza, hiyo 1% ndiyoinakutoa macho hivyo? Rwanda ya siku hizi watu wanapesa mjinga wewe.
3) tupe mda, tufanye uchunguzi wetu, alafu tutakutumia JF.
4)utabiri wangu: si mda mrefu mwizi atakuja kuwapa porojompya, tutaanza kumuona kwenye yale magazeti yenu.
1. Wewe unajifanya sijui engineer lakini concepts rahisi kabisa unakuwa mgumu kuelewa, i think labda ulisomea kigali. Kampuni kutochapisha mahesabu kwa umma hakuifanyi iwe haina accounting system ndani. Hoja ni kuwa mashirika yote ya umma kama tanesco, dawasco, ATCL etc, yanatakiwa kutoa hesabu zake kwa umma, typically kupitia CAG na bunge. Rwandair haijawahi kufanya hivyo. Mwananchi hajui mpaka sasa whether inapata hasara au faida. Lakini mahesabu anapelekewa kagame as if kampuni ni yake why? Hivi huko Rwanda CAG wenu kazi yake ni nini kama baadhi ya mashirika yako "juu yake"?
2. Rugemalira na Baigamba ni tofauti. Rugemalira alikuwa na private company YENYE MKATABA na serikali. Baigamba ni shareholder mwenza wa Serikali. Je utaratibu gani ulitumika kumfanya Baigamba awe shareholder kwenye kampuni ya umma? Maana hata kama utadai serikali ilitafuta wawekezaji wa ndani baigamba akashinda pia utakuwa muongo wa karne since BAIGAMBA SIO MFANYABIASHARA, na hata angekuwa mfanyabiashara bado ASINGEKUWA NA FEDHA YA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA AIRLINES, tungeshamsoma kwenye Forbes by now.
3. Nawapa muda fanyeni uchunguzi.
4. Utabiri wangu: Still i believe this thing is political, because everybody knows its only kagame that is allowed to steal in Rwanda, i don't believe this chap would dare to steal 600mil francs, almost a $1mil USD if i am correct, huyu lazima atakuwa kapigwa zengwe.
siku hizi ukitaka kumtia mtu hatiani, unatafuta namba za mtu aliye DRC halafu unamuambia ampigie jamaa, jamaa akipokea ataongeleshwa ujinga ujinga, halafu unawapigia kina jack nzinza unawaambia nimesikia jamaa anaongea na FDLR check his phone records.....wakicheki namba za DRC.....kesho jamaa ndani! Huyu jamaa sina shaka sooner or later "itagundulika" alikuwa na "collaboration" with "negative forces" to "distabilize" or "divide" the people of rwanda....:A S wink: