comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Hii mbona ya kawaidaKatika parade bora ya majeshi Afrika nchi ya Rwanda inaongoza kwa ubora wa parade za kijeshi.
Mwandishi atakua anatokea gisenyi sio bure
Mkuu kule kwao usipige wana kitu wanaita "vulundu" balaa saana...ila shda ya madem zao sasa maji utafkir ni haya mafuriko hapa daa kwa kweliHahahahaha duu umeua kabisa hapo,nimependa wale warembo tu yule mbele anavyonengua daah wacha tu tutapeliwe, lakini wako vizuri sifa yao kubwa ni umalaya tu, ukimuoa demu wa kule akitaka kushika mimba anakimbilia kwao kusalimia mwanamuziki AY kazi anayo kwa yule demu wa kinyarwanda, nimeshawadinya sana Benaco
Ndio inasaidia nini kuacha kuwa na jeshi bora unasifiwa kwa kuwa na wacheza kwaya wazuri pumbafu sana
Hapo sawa mkuuPia ipo kwenye top ten kwenye majeshi bora Afrika
Nimepata nyege kwa parade ya wamama jeshi hapo karibu na mwisho
Unatuzuga, Parade ya Rwanda ni sehemu ndogo tu, sio yote kama unavyoishusha hapo kuanzia kwenye zile pikipiki hadi mwisho sio Rwanda acha kupotosha.Katika parade bora ya majeshi Afrika nchi ya Rwanda inaongoza kwa ubora wa parade za kijeshi parade hiyo ni ya mwaka 2017 ikiwemo mbwembwe na vionjo,ushikaji wa vitala na silaha,mbwembwe za vikosi vya wanawake.
Unatuzuga, Parade ya Rwanda ni sehemu ndogo tu, sio yote kama unavyoishusha hapo kuanzia kwenye zile pikipiki hadi mwisho sio Rwanda acha kupotosha.