Rwanda yanunua ndege mpya!!

mh...! Ngoja ntafute mkaka wa Kitutsi aniwowe, lol

Jamani! jamani! sasa sisi men wa kibongo tutabaki na nani!?, maana tayari mmewakumbatia wababu wa kizungu, na sasa mnaelekea Rwanda, eh Mungu wangu tunaomba dada zetu wasitukimbie!
 
Mlichagua wenyewe serikali legelege halafu sasa mnalalamika nini!!!!!
 
Mlichagua wenyewe serikali legelege halafu sasa mnalalamika nini!!!!!
<br />
<br />
Kaka tz ina watu zaidi 50ml,wapiga kura ni karibu 35ml sasa yeye kateuliwa na 4ml yani niwale aliowapa ajira hivi leo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…