Rwanda: Spika wa senate ya Rwanda ajiuzulu

... Sita Naye Ajiuzuru Basi, Anasubiri Nini
 
Jamaa watamuua tu. Labda aje kwetu tumsitili hasidhurike. Watakuja hapa akina murutongore na MUKAMASIMBA wataanza kusema msaliti wa serikali ya kitusi........LOL
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ukomavu wa uongozi. Ameheshimu maoni ya wenzi wake ya kutokuwa na imani yake na kuamua kujiuzulu. What's wrong with that?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…