Rwanda katuzidi wapi kwenye kutangaza utalii?

acheni unafki. nyinyi ndio mlikuwa mnamponda kagame hapa wakati amewapa offer arsenal. kwani visit rwanda mumeijua tu wakati messi ametua psg? mbona mlikuwa hamsemi kabla ya messi kuja psg. ndio maana mnaongezewa matozo kwenye simu maana hamjitambui
 
Na Zari pia ni balozi wetu wa utalii, nadhani waganda watajaa huku kutalii.
 
acheni unafki. nyinyi ndio mlikuwa mnamponda kagame hapa wakati amewapa offer arsenal. kwani visit rwanda mumeijua tu wakati messi ametua psg? mbona mlikuwa hamsemi kabla ya messi kuja psg. ndio maana mnaongezewa matozo kwenye simu maana hamjitambui
Aiseee
 
Kuweka matangazo ya visitings pasipo cha kwenda kuona ni utapeli.
kwa watalii.

Akienda, na atakachokikuta ni vitu viwili contrary kabisa na hatarudi.

Ukitangaza mlima k'njaro upo kenya huku ukijua sikweli, na mtalii kaja na asiukute ni kutafuta kuharibikiwa.

sasa subr tuone kwanza outcome ya mess kuvaa kit yenye maneno ''visit Rwanda''

Nachojua hata serikali ingegharimika kuwaleta macelebrity wa nje bado gharama zingelalamikiwa tu na baadh yetu.

Wangesema serikali imewaleta beyonce, jayz na bekham (mfano) wakati watoto hawana vyumba vya madarasa.

Mkataba wa Rwanda na Arsenal juu ya kuitangaza Rwanda kiutalii, uliigharimu Rwanda paundi milion 60
na hapo ni matangazo ya kwenye soksi na kwny pindo tu.

mnakumbuka jinsi vyombo vya habari vya uingereza vilivyopga kelele kushangaa uamuzi wa serikali ya rwanda kutumia mabilion kuipa arsenal wakt nchi yao ingali maskn
 
Tanzania maneno mengi...uswahili blh blh nyingi
Hakuna mipango yoyote inayofanyika!

Ova
 
Kwa nini tusubir wengine wafanye ndio tuige?
Siwalaumu viongozi wangu maana sisi watu wa tz tumezoea kulalamika kwenye kila kitu,,,, taifa hili lina watu wachache sana wenye maadili ya kijamii na kazi. So hiz shida ili ziishe zinaitaji watu wa kubadilisha ila mpaka leo hajapatikana maana hata ukipita vijiwen unaweza ua mtu kwa hasira,,, unakuta mtu anatumia nguvu kumlaumu jk kufukuza wazungu eti alifukuza maendeleo mpaka unaanza kujiuliza hivi hii elimu bongo ndio inayotolewa kwenye nchi za wenzetu au nn kipo chini ya kapet?
Tuendelee tu kulaumu maana sisi ni mabingwa wa kulaumu, hatumsaidii mtu aweze bali tunasubir akosee tupate stori
 
Rwanda ni Taifa linalojitambua Kimaendeleo, Kimipango na Kimkakati na ndiyo maana kila Siku tu linaziacha nchi zingine katika Ukanda wake.
 
acheni unafki. nyinyi ndio mlikuwa mnamponda kagame hapa wakati amewapa offer arsenal. kwani visit rwanda mumeijua tu wakati messi ametua psg? mbona mlikuwa hamsemi kabla ya messi kuja psg. ndio maana mnaongezewa matozo kwenye simu maana hamjitambui
Toto la msimbe baada ya kubugia uji usio na sukari ya kutosha lakurupuka
 
Rwanda wametuzidi kwenye mauaji! Ni picha halisi ya unyama na roho mbaya ya mwanadamu. Sasa Messi kuvaa flana ndio nini? PK mpaka leo anaendelea kuua, makaburi ya binadamu wenzie ndio vivutio vya utalii?!!
 
Kiwastani, Tanzania hatuna viongozi wajuao wanachokifanya, wengi wapo tu madarakani kwa ajili ya kuridhisha matumbo yao na ndiyo maana Tanzania na nchi nyingi za kiafrika hatuendelei kutokana na kurundika viongozi wasio na weledi kwenye kazi yao. Unakuta mtu kasoma ila anawaza atakavyoiba siku akichaguliwa madarakani serikalini na ndiyo maana mawaziri wengi walimchukia Magufuli walipotumbuliwa maana walizoea wizi na kuhisi Magu ni kama walivyozoea.
 
Nakumbuka miaka 2011-2014 hivi matangazo ya visit ngorongoro yalikuwa yanaonekana kwenye ligi kuu ya uingereza kwenye baadhi ya timu. Ila baadhi ya watu walikuwa wanalalamika kuhusu pesa zilizotumika tena humu humu JF.

Pitia hii linki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…