Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Ruto was sacked over land - Karua
Yesterday, seven ODM lawmakers claimed that proceeds from sugar imported by the government are financing terrorism. The MPs alleged they have evidence indicating that part of the money facilitated the April 2 Garissa University terrorist attack in which 148 were killed by al Shabaab militants. They maintained that most of the university students killed in Garissa "were from Western Kenya".
Mkuu kwa hiyo hawa Alshabaab walikuwa contracted to attack Garrisa with a specific instruction of killing westerners?...shikamoo wanasiasa
Hata sisi hapa TanZania tuna fisadi Lowasa na genge lake ambao wameimaliza TanZania kwa wizi baada ya kukatwa na Chama Dola (CCM) kugombea uraisi kwa sababu ya Ufisadi uliokithiri amenunua Chama kilichokuwa Kikuu cha Upinzani TanZania na tegemeo la wengi sasa yeye fisadi Lowasa/ukawa na genge lake wanataka kupata uraisi wa TanZania hilo kamwe halitatokea kwani TanZania ni nchi ya watu na yenye misingi ya Kijamaa na kamwe haiwezi kwenda kwa mafisi kama akina Uhuru Kenyata, fisadi Lowasa &Co.
Sasa Wakenya mnaaadhibiwa kwa kukabidhi nchi kwa mafisi na wanyonya damu ya Wanyonge sisi huku hilo halitatokea fisadi Lowasa na genge lake hawawezi kushinda Uraisi TanZania!
Mkuu kwa hiyo hawa Alshabaab walikuwa contracted to attack Garrisa with a specific instruction of killing westerners?...shikamoo wanasiasa
Ndugu yangu umesahau hatimaye Mungu ndiye muamuzi ya yote. Ndiye yeye ataamua kumpa au kumnyima mgombea yeyote. Baada ya lowasa kukatwa hakuna mtu aliyejua ataibukia upinzani kwa nguvu kubwa hivyo. Hakuna aliyefahamu lipumba angekimbia cuf. Hakuna aliyefahamu Dr Slaa angezira. Hayo ndio maajabu ya Mungu. Hakuna ajuae ya kesho. Siku sabini za kampeni ni nyingi sana.
Siasa za Kenya hizi.....kumekucha sio mchezo!
Kamanda umeona eeh?..wanasiasa wakenya hawajambo mazee...hehehe....Mwenzio nimecheka niliposoma hio kauli we acha tu!
Ufisadi wa Lowassa upo wapi? halafu unakuja kubwabwaja kulazimisha kuhusisha tuhuma zako na yaliyomo kwenye huu uzi..ushaambiwa maagizo yote yalitoka 'mamlaka ya juu' (mkwere), ambaye mpaka sasa hajatupa majibu licha ya kuwa mpira wa 'richmond' umetupwa kwake...au ndo sizitaki mbichi hizi...bado tunasubiri majibu...Hata sisi hapa TanZania tuna fisadi Lowasa na genge lake ambao wameimaliza TanZania kwa wizi baada ya kukatwa na Chama Dola (CCM) kugombea uraisi
Una ushahidi wowote kama CDM imenunuliwa..ukituonyesha ushahidi nitakubaliana na wewe..kama hauna acha kuropoka hovyo..hizo propaganda hazifui dafu hapa...kwa sababu ya Ufisadi uliokithiri amenunua Chama kilichokuwa Kikuu cha Upinzani TanZania na tegemeo la wengi
wewe ni mpiga kura mmoja kuna wenzako Zaidi ya Millioni 24 tutakaoshiriki hayo maamuzi, wewe na ki-avatar chako cha mbwa hautuchagulii Rais...nani ana shida na ujamaa sasa hivi,labda ACT, ujamaa ulikuwa enzi za mwalimu...wanataka kupata uraisi wa TanZania hilo kamwe halitatokea kwani TanZania ni nchi ya watu na yenye misingi ya Kijamaa na kamwe haiwezi kwenda kwa mafisi kama akina Uhuru Kenyata, fisadi Lowasa &Co.
Mkuu, subiri October sio mbali kama Lowassa anashinda au hashindi tutajua...huu uzi hauhusiani na uliyoyaandika..Sasa Wakenya mnaaadhibiwa kwa kukabidhi nchi kwa mafisi na wanyonya damu ya Wanyonge sisi huku hilo halitatokea fisadi Lowasa na genge lake hawawezi kushinda Uraisi TanZania
Hebu toa ujinga wako hapa, naona ushakunywa KC unashindwa point yoyote Zaidi ya utumbo...Mungu ni Mwema na ndiyo maana hata siku moja hawezi kuwaachia fisadi Lowasa na genge lake Uraisi wa nchi yetu kipenzi ya TanZania na unajua kwanini? sasa nitakwambia kwa sababu TanZania ni mpango wa Mungu, na ndiyo maana mwanzoni fisadi Lowasa na genge lake walikuwa wanasema hakatwi mtu CCM, mara sijui haondoki mtu CCM na wataondoka wao lkn Mungu akasimama upande wa TanZania na fisadi Lowasa akakatwa na Tume ya Maadili inayoundwa na wazee wenye busara ktk nchi yetu na ambao mchango wao unatambulika siyo tu hapa nchini bali nje ya Mipaka yetu pia na sasa yeye fisadi Lowasa na genge lake la wezi wa rasilimali zetu wakakimbilia CHADEMA na huko wakakipora Chama kutoka kwa wananchi na sasa CHADEMA kinajulikana kama Chama cha Mafisadi hata mmoja wa Viongozi makini waliyoshiriki kwa kiasi kikubwa kwenye kuijenga CHADEMA Bw.Slaa ameamua kuondoka chadema baada ya kuona chama alichokitolea jasho kukijenga kikinunuliwa na fisadi Lowasa na genge lake!