Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Ok nice job,ila tafadhali mngeweka ufasaha wa ofisi yenu ilipo hpo hasa kíjengo na mahali(location).. arusha ili wana uzi waweze kuwa na uhakíka,kwani wengi tumekutana na Blackmail kama hzi ambazo mwisho wa time unakuwa umepoteza muda wa kufuatilia na kuacha kazi zingine zikikupita. Najua huenda hamtaki kuweka location ya ofisi ynu kuepuka kugongewa hodi na kero za watafuta ajira .! Think on this HRM.
Hawana officeOk nice job,ila tafadhali mngeweka ufasaha wa ofisi yenu ilipo hpo hasa kíjengo na mahali(location).. arusha ili wana uzi waweze kuwa na uhakíka,kwani wengi tumekutana na Blackmail kama hzi ambazo mwisho wa time unakuwa umepoteza muda wa kufuatilia na kuacha kazi zingine zikikupita. Najua huenda hamtaki kuweka location ya ofisi ynu kuepuka kugongewa hodi na kero za watafuta ajira .! Think on this HRM.
Hawana office
Wewe unataka tukutajie ofisi ilipo, ili uje kuleta maombi kwa mkono au.? Kikubwa jiulize una sifa tajwa hapo juu..? Usipoteze muda kutuma email kama huna sifa,kujua lugha hakuna magumashi,kuna watu wameanza kutuma emails,tunaendelea kuzifanyia kazi.
Office ipo sebuleni kwake ndio maana hatoi location
Mimi huwezi kunilipa huwa nafanya tour guide kwa hapa dsm