Hakuna WWIII. Maana hakuna atakayepona. Wote wanajua madhara ya vita. Hapo wanatafuta kuheshimiana tuPeople dont underestimate THE USA..why they keep silent kwani wao hawapendi show off za ugunduzi wa silaha zao?. haya ni maandalizi ya WWIII na source ni Syria time will tell cz military alliances already formed china,iran,russia on one hand na upande wapili ni USA Britain na NAto usimuache Saudi Arabia.
NATO na Russia hawawezi pigana ata siku moja sababu hakuna nchi ya Ulaya iliyo tayari kurudi kuwa masikini sababu ya vita kumbuka baada ya ww2 nchi zote za Ulaya zilifilisika hadi U.S alipozisaidia tena kuinuka hivyo this time USA akiyachokoza nchi zote zitajitoa na kumuachia ulingoHakuna WWIII. Maana hakuna atakayepona. Wote wanajua madhara ya vita. Hapo wanatafuta kuheshimiana tu
Nasema hivyo kutokana na ukweli kwamba sio tu hizo Air defence systems bado wana fighter jets bora kabisa ambazo pia hutumika kulinda Airspace sasa hapo utaingiaje kwenye hiyo angaHakuna airspace impenetrable,
Lakini sema kuingia kwenye anga kama hilo na Air Bomber ni risky sana and almost impossible.
Pia speed ya sauti ni 340meters per second sio 3000km/hrMkuu
3000 km/hr = 0.833 km/sec.
Maana yake ni kwamba hilo kombora lipo within the speed range ya kulipuliwa na S500.
Pia speed ya mwanga ni 340meters per second sio 3000km/hr
Hata mie hapo sikumaanisha speed ya mwanga ila ya sautiSikusema speed ya mwanga,nilisema speed ya sauti na niliweka 3000+ km/hr coz hizo dugit za juu nimezisahau.
Hivi hii utaizidi kombora laMarekani alilokamilisha uundaji wake lenye speed ya sauti..ni kama 3000+ km per hour.
Hii inakuja baada ya usa kutoa ile video ya kuonesha jinsi way aka cup penetrate s400 ingia you tube uisachi yaani ni balaa lile ndomana Russia kajitasmini tena
Mbona Russia anaji equip sana, kuna vita kubwa inakuja ama?
Anaji-equip kwa kuwa USA and her/its partners wameisogelea Russia mipakani kwa kutumia nchi kama Lithuania, Estonia na Latvia zilizokuwa kwenye Soviet Union na pia huko Poland iliyokuwa kwenye Warsaw Pact. Western Powers wanaiogopa mno Russia kwani imeamka na kuchukua nafasi ya Soviet Union iliyosambaratika. Wakati Western Powers walikuwa wanashangilia kusambaratika kwa Soviet union na hivyo kuwa mwisho wa vita baridi kumbe Russia chini ya PUTIN ilikuwa inajiimarisha kijeshi kimya kimya, Western Powers wameshtuka but it is almost too late.
Pia USA wapo Romania ktk joint exercise yaan Russia ashakuwa conned na subiri nione Obama akiondoka akiingia republican tu kazi inaanza
Kuna General mmoja wa NATO alitoa "warning" kuwa Europe sasa hivi haiwezi tena kupiga kupigana na RussiansAnaji-equip kwa kuwa USA and her/its partners wameisogelea Russia mipakani kwa kutumia nchi kama Lithuania, Estonia na Latvia zilizokuwa kwenye Soviet Union na pia huko Poland iliyokuwa kwenye Warsaw Pact. Western Powers wanaiogopa mno Russia kwani imeamka na kuchukua nafasi ya Soviet Union iliyosambaratika. Wakati Western Powers walikuwa wanashangilia kusambaratika kwa Soviet union na hivyo kuwa mwisho wa vita baridi kumbe Russia chini ya PUTIN ilikuwa inajiimarisha kijeshi kimya kimya, Western Powers wameshtuka but it is almost too late.