Bora kajiua kuliko angekamatwa na hao Nguruwe ambao wangempiga kibraKafa kizalendo
Duhhh.....Acha hizo jiwe dogo, Mrusi kaji granade kuepuka kutiwa kisu, wewe unaweza fanya hivyo kwa ajili ya bongo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] thubutuu... kwanza wabongo walivyo waoga wa kufaAcha hizo jiwe dogo, Mrusi kaji granade kuepuka kutiwa kisu, wewe unaweza fanya hivyo kwa ajili ya bongo?
Duhhh.....
Jinsi wabongo walivyo wasaliti, hapana siwezi kujitoa kwaajili yao wallah...[emoji45] [emoji45]
Hahahaha[emoji1] [emoji28]
Tunaogopa virungu itakuwa grenade!