zana tu, hata Idd amini na libya walikuwa nazo lakini hawakufua dafu kwa tanzania.
Pia Islamic state wanamiliki silaha za wamarekani, na ndizo wanazotumia kutoa kichapo kikalikwa washia,Silaha ambazo kihistoria ni za ubora kuliko zile za Russia.

Wewe unafamahu Siraha za Mrusi kweli? Katika Vita zote Urusi hajawahi tumia Siraha nzito na Ulaya na Nato yao wanafahamu Siraha za Urusi zilivyo.
@ElungataTatizo kubwa la 2013 ni ushabiki uliokithiri.
Unafahamu silaha za USA, ambazo ndio the best all over the world mpaka sasa?Wewe unafamahu Siraha za Mrusi kweli? Katika Vita zote Urusi hajawahi tumia Siraha nzito na Ulaya na Nato yao wanafahamu Siraha za Urusi zilivyo.
Tangu enzi za nyuma Ukiondoa bunduki ya Ak47, Kuanzia ndege za kivita na zana mbalimbali za kijeshi na ubora wa wanajeshi wa marekani wenye hadhi ya ukomando, Russia haifikii. Russia kama zilivyo China zinapumulia Umilik wa Nyuklia na si vinginevyo.Historia ipi mkuu?
@Elungata
kumbuka Historia ya vita ya dunia:
hao urusi ilibaki kidogo wachukuliwe na Ujerumani Kwenye WWII, baada yaujerumani kushika poland, ufaransa, belgium na nchi nyingine nyingi. Na kama sio ile baridi kali iliyowaokoa.Kwakupunguza kasi ya wajerumani kufika moscow.Kwani bara lile lilikuwa kubwa na kufikia Moscow palikuwa mbali sana.
Usisahahu urusi ya kisoviet ilivyoshindwa Afghanistan ilipopigana na mujahidin. Hata USA ilipokwenda kumchapa Taliban kule afghanistan Russia iliwaonya kuwa watashindwa. US wakawadharau wakaenda na kutoa kichapo kikali kwa Taliban na Osama akapatikana na Mullar omar akawa amesepa.kwa sasa kuna utawala mpya. Mfupa uliomshinda URUSi (tena sio haka ka-russia ambacho ni kadogo zaidi) Marekani wakautaufna ndani ya dakika chache.
.
Usisahahu Urusi ilivyowasaidia waarabu kwa kuwapa silaha za kuichapa Israel, lakini wakaishia kupewa kichapo mbele yake na israel
mpaka Urusi ikatishia kuingia vitani dhidi ya Israel iwapo Israel hawatasimamisha vita. Ikapelekea USA na ulaya waingie kulazimisha amani kati ya Misri na Israel.
Usisahahu cold war Urusi ilishindwa vibaya na kusambaratika mataifa yakaji mega(ikiwemo Ujerumani, n.k. mpaka ikawa aibu ambayo Putin anataka kuifuta kupitia Kuvamia Ukrane..
Currently nchi yenye kuinuka kwa kasi kijeshi, na kiuchumi ni China na sio Urusi.NA Kwa bahati mbaya China bado anamaskini wengi sana na hajapata michubuko inayopitia marekani mpaka sasa. Ili tuweze kuilinganisha na Ukuaji wa kweli wa uchumi wake.
Hivi unajua Urusi ilikuwa inalipwa posho na marekani ili isididimie zaidi kwenye lindi la umasikini. Hivi unajua kwanini Urusi inaongoza kwa ubaguzi ulaya kuliko maeneo mengine. Blacks kule hawatembei hovyo. Sababu ni hizi za umaskini. fuatilia waliosoma chuo cha Lumumba utafahamu zaidi.
Usitake kujidanganya eti maskini anaweza mbele ya Tajiri.Russia is poor.Poor than India, China, Japan, South Korea, Taiwan, etc.Na hii imekuwa aibu kwao ndio maana Putin anataka kulazimisha mambo, baada ya kuhisi uchumi umeamia mashariki mwa dunia, na sio tena western.
Nimeongea in a nut shell....
Unafahamu silaha za USA, ambazo ndio the best all over the world mpaka sasa?

Ndo kusema unataka kusema russia alishindwa afaghanstan?.nijuavyo wao ndo walikua wanamweka madarakani Najibullah,walipoondoka ndo mujahidina wakaweza kuiteka kabul.Unafahamu silaha za USA, ambazo ndio the best all over the world mpaka sasa?