Russia will quite International Space Station Over sanctions

Nadhani wanaweza omba corporation na kituo Cha anga Cha china(Tiangong) .maana nasikia Kenya,Ethiopia nao tayari wanaomba corporation na wachina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huweza kumkomoa tajiri hata ufanyaje.
 
Will "quit" or "quite"? Hii lugha ngumu sana. Nimesikia mtu jana akisema kuwa kwenye sikukuu atakula "lice" badala ya "rice"!!

 
Mwl wa kiingereza wasalimie hapo darasa la 5B.
mkuu sometimes unapoandika keyboard nayo inajifanyia auto correction,kwahiyo jikite kwenye mada kama huelewi pita kushoto kuliko kukata mauno hapa
 
will quit or will quite? Moderator
 
Bajeti ya iss haitoki Russia babu ila wanasayansi wa Russia wanategemewa sana kwa hizo issue kwa sababu wao ndo mabingwa wa mambo ya anga duniani si unaona wamekwambia hapo hata chombo kinachotumia kuwapeleka na kuwarudisha ni cha ki Russia
Russia wanategemewa sana kwa hizo issue kwa sababu wao ndio mabingwa wa mambo ya anga duniani,,,,,,,,,huo mstari nimeusoma na bado naendelea kuusoma daaah
 
Isukumwe,hua inasukumwa na nini ?
Wakienda mwezini huitafuta njia ya mwezi kuizunguka dunia kwanza na huzunguka mara kadhaa ndo hutua mwezini,,,kwa Nini waitafute njia ya mwezi?kwa Nini wauzunguke mwezi kwanza?wanadai wanatua baada ya mwez kuwa karibu na dunia,wakienda watatu anatelemka mmoja tu,,,Nina hamu ya kuyajua haya kama hutojali(samahani nipo nje ya mada(
 
Bora walishushe tu kwanini kuishi angani wakati Mungu katupa Ardhi nzuri hapa Duniani.
 
ilikuwa miaka ya 90
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…