Hata hivyo hata kabla ya vita taarifa zilizokuwepo ni kwamba Russia alikuwa ana mpango wa kuitelekeza maana muda wake wa matumizi umekaribia kufika ukingoni hivyo US ndiye alikuwa ana mpango wa kulidondosha baharini wakati huo huo sijui ni space x design kama walipropose iendelee kuwa angani.Inavyoonekana vikwazo vinafanya kazi hawana bajeti ya kuendelea.
Je hii italeta athari kwa dunia?
Yani mtu anarusha dubwana la tani 400 angani bado mnamuona ni wa kitoto !?Hata hivyo hata kabla ya vita taarifa zilizokuwepo ni kwamba Russia alikuwa ana mpango wa kuitelekeza maana muda wake wa matumizi umefika ukingoni hivyo US ndiye alikuwa ana mpango wa kulidondosha baharini wakati huo huo sijui ni space x design kama walipropose iendelee kuwa angani.
Maana ili iendelee kukaa angani lazima baada ya kila muda isukumwe kuiongeza kasi ambayo uwa inapungua.
Sijui ikidondoka baharini itakuwaje maana ina tani 406
Walishirikiana Russia, Japan na US. Kila mmojawapo ana kieneo chake na ni kubwa sawa na kiwanja cha mpira. China naye alitaka ajiunge US wakambania ndio maana karusha la kwake peke yakeYani mtu
Yani mtu anarusha dubwana la tani 400 angani bado mnamuona ni wa kitoto !?
Bajeti ya iss haitoki Russia babu ila wanasayansi wa Russia wanategemewa sana kwa hizo issue kwa sababu wao ndo mabingwa wa mambo ya anga duniani si unaona wamekwambia hapo hata chombo kinachotumia kuwapeleka na kuwarudisha ni cha ki RussiaInavyoonekana vikwazo vinafanya kazi hawana bajeti ya kuendelea.
Je hii italeta athari kwa dunia?
Russia walikuwa na kituo chao binafsi kabla na walikiangusha safely duniani miaka ya tisini na au elf mbili na ulitokea mjadala mkubwa marekani akidai kwamba kitaleta madhara makubwa lakini kumbe Russia walishapiga hesabu kabla jinsi ya kukishusha na kikaanguka bila madhara sehemu isiyo na watuHata hivyo hata kabla ya vita taarifa zilizokuwepo ni kwamba Russia alikuwa ana mpango wa kuitelekeza maana muda wake wa matumizi umekaribia kufika ukingoni hivyo US ndiye alikuwa ana mpango wa kulidondosha baharini wakati huo huo sijui ni space x design kama walipropose iendelee kuwa angani.
Maana ili iendelee kukaa angani lazima baada ya kila muda isukumwe kuiongeza kasi ambayo uwa inapungua.
Sijui ikidondoka baharini itakuwaje maana ina tani 406
Na hilo dude linaenda for 7km/sec....hatari na nusuYani mtu
Yani mtu anarusha dubwana la tani 400 angani bado mnamuona ni wa kitoto !?
Uwe na akili. Russia walikishusha hilo dubwasha marekani ndio itakayoathirika sana kwani hilo dubwasha ndio tegemeo kubwa ktk kuwasafirisha wanaanga wao. Russia wanataka kulishusha makusudi kuikomoa USA kwa vikwazo vyao vya kijinga walivyoviwaka wakati kuna mambo yao yanakwenda vizuri kwa kushirikiana na RussiaInavyoonekana vikwazo vinafanya kazi hawana bajeti ya kuendelea.
Je hii italeta athari kwa dunia?
Mh aiseee balaa kubwa kabisaNa hilo dude linaenda for 7km/sec....hatari na nusu
Russia hawaiamin nchi yaoQuit vs Quite tell them to make corrections over there ! Then no any impact at all , even they don’t trust what ever they do on their own
Let us share with you the questions Russian residents always ask themselves!
Tsar Putin hiding lover Alina Kabaeva and their kids in Switzerland. why not in Omsk or Voronezh ? are they the real patriots or "foreign agents"?
Not only that ! Another one is adding "Rotenberg's son has Finnish citizenship and they live there, Lavrov's daughter in New York, Peskov's daughter in Paris - Lisa lives and studies in France, son Nikolai was tried in the UK and spent more than a year in an English prison, his wife owns an apartment in the USA with an area of 126 m 2. Zolotov's grandson in England, At the nightingale (telepropagandist) - a villa on Lake Como (near Milan), Italy, and a residence permit there ... at Malysheva in the USA. Vladimir Zhirinovsky has Spanish citizenship, Igor Lebedev (son of Zhirinovsky) has a US green card, Spanish citizenship and Swiss permanent residence, Mikhail Berulava has a residence permit of the Czech Republic, Irina Rodnina has US citizenship. Gennady Timchenko is a friend of Putin, (one of the “kings of the state order” and the largest exporter of Russian oil) is a citizen of Finland, his wife and daughter are also. Since 2014, under sanctions, forced to live in the Russian Federation. This list can be continued indefinitely... Do not be too lazy to look on the Internet for a list of officials with foreign citizenship. Hair stand on end!! all patriots of the Moscow Horde? Or foreign agents?"
Britanicca
... wazee wa escaping velocity za kwenye makaratasi.Na hilo dude linaenda for 7km/sec....hatari na nusu
U.s Wana plan b tayariUwe na akili. Russia walikishusha hilo dubwasha marekani ndio itakayoathirika sana kwani hilo dubwasha ndio tegemeo kubwa ktk kuwasafirisha wanaanga wao. Russia wanataka kulishusha makusudi kuikomoa USA kwa vikwazo vyao vya kijinga wivyoviwaka wakati kuna mambo yao yanakwenda vizuri kwa kushirikiana na Russia
... Russia vs Russians.Russia hawaiamin nchi yao
Hahaaa....ndio uhalisia... wazee wa escaping velocity za kwenye makaratasi.
B ni B na A ni A. Kama B ipo vizuri kwanini walikuwa wanaendelea na plan A?U.s Wana plan b tayari
Zama zinabadilika na maisha yanabadilika piaB ni B na A ni A. Kama B ipo vizuri kwanini walikuwa wanaendelea na plan A?
Dah,yani mzungu kichwa sana...mzigo wote huo unakuwa unatembea angani,hawa jamaa wako mbali sana.Hata hivyo hata kabla ya vita taarifa zilizokuwepo ni kwamba Russia alikuwa ana mpango wa kuitelekeza maana muda wake wa matumizi umekaribia kufika ukingoni hivyo US ndiye alikuwa ana mpango wa kulidondosha baharini wakati huo huo sijui ni space x design kama walipropose iendelee kuwa angani.
Maana ili iendelee kukaa angani lazima baada ya kila muda isukumwe kuiongeza kasi ambayo uwa inapungua.
Sijui ikidondoka baharini itakuwaje maana ina tani 406