Sawa je...na Ukraine imesema ni mamruki wa Russia kwaiyo kila mtu anaitaji kuamini maneno yapi?Hamna pandikizi hapo,
Jana Russia wametoa ripoti Yao kua wale Ni askali wa Ukraine na wamekutwa na silaha na magari Vita ya kimarekani.
Mkuu utakua uko outdated sn na hizi habari[emoji4]
Hiii vita inapo enda kuisha ni kazi sana putin lazima akeshe macho dailyHapo Matakore PUTIN ataanza kulitawanya jeshi lake huku na kule na hapo sasa kichapo atapokea cha kufa mtu . Achana na Wazungu wa Europe na USA watamsumbua sana huyu Matakore PUTIN.
Russia sio Drc ya Tshisheked wala Russia sio sudani ya kusini,,Hapo Matakore PUTIN ataanza kulitawanya jeshi lake huku na kule na hapo sasa kichapo atapokea cha kufa mtu . Achana na Wazungu wa Europe na USA watamsumbua sana huyu Matakore PUTIN.
Vita kamili ndo hii hii inayomyumbisha.Siku Urusi akitangaza vita kamili hatakuja sikia hayo makundi unayoyasema.......
Kwani vita kamili ndo ikoje mkuu?? Mbona hii ndo yenyewe? Mrusi na MyuKreni wanauana, wanaharibiana kila kitu sasa hiyo kamili itakuwa na nini cha pekee?Vita kamili usiombee mana ni chanzo ya vitaa ya dunia
Ni kweli wanauwana lakini bado nguvu kubwa urusi ajatumia...jeshi kamili na baadhi ya silaha zenye nguvu pia....urusi akisema atumie nguvu yote hii vita...naamini ndani ya wiki anamaliza UkraineKwani vita kamili ndo ikoje mkuu?? Mbona hii ndo yenyewe? Mrusi na MyuKreni wanauana, wanaharibiana kila kitu sasa hiyo kamili itakuwa na nini cha pekee?
Sasa kama anasubiri -subiri, mbona hapo baadaye si atakuwa amechoka sana au hata pengine watakuwa wameshamlamba kichwa?Wahenga walisema "Hakika Tunaijua jana yetu lakini Hakika hatuijui kesho yetu" Au ndo tuseme jamaa ameshatepeta (wameshamkamatia chini) lakini bado anatoa sauti za vitisho tu?Ni kweli wanauwana lakini bado nguvu kubwa urusi ajatumia...jeshi kamili na baadhi ya silaha zenye nguvu pia....urusi akisema atumie nguvu yote hii vita...naamini ndani ya wiki anamaliza Ukraine
Matakore PUTIN ameshatepeta chiniSasa kama anasubiri -subiri, mbona hapo baadaye si atakuwa amechoka sana au hata pengine watakuwa wameshamlamba kichwa?Wahenga walisema "Hakika Tunaijua jana yetu lakini Hakika hatuijui kesho yetu" Au ndo tuseme jamaa ameshatepeta (wameshamkamatia chini) lakini bado anatoa sauti za vitisho tu?
Unaongelea wazungu Gani ndugu?Hapo Matakore PUTIN ataanza kulitawanya jeshi lake huku na kule na hapo sasa kichapo atapokea cha kufa mtu . Achana na Wazungu wa Europe na USA watamsumbua sana huyu Matakore PUTIN.
Hujui mengi ndugu,unahitaji elimu kubwa sana juu ya hizi mambo.Sasa kama anasubiri -subiri, mbona hapo baadaye si atakuwa amechoka sana au hata pengine watakuwa wameshamlamba kichwa?Wahenga walisema "Hakika Tunaijua jana yetu lakini Hakika hatuijui kesho yetu" Au ndo tuseme jamaa ameshatepeta (wameshamkamatia chini) lakini bado anatoa sauti za vitisho tu?
.Hapo Matakore PUTIN ataanza kulitawanya jeshi lake huku na kule na hapo sasa kichapo atapokea cha kufa mtu . Achana na Wazungu wa Europe na USA watamsumbua sana huyu Matakore PUTIN.
Anzeni kujipa moyo, Prigozhin leo anakitoa askari wake 22,000 takriban wamepoteza maisha, hayo makundi yapo na jana kulitibuka upande mwengine wa Russia,Hamna pandikizi hapo,
Jana Russia wametoa ripoti Yao kua wale Ni askali wa Ukraine na wamekutwa na silaha na magari Vita ya kimarekani.
Mkuu utakua uko outdated sn na hizi habari[emoji4]