HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,366
- 94,547
Hizo ni propaganda kaka,Trump kishagaragaza wote.Interference, Collusion, Crime, Indictments.., hivyo ni vitu tofauti sana, Investigation ilianza kwa premises ngumu sana ya Collusion ambayo ni ngumu kupata hard evidences, lakini haimaanishi Trump hajafanya makosa au watu wake hawakuwa involved na russians, all in all Trump bado ana kesi Lukuki, huyu jamaa ni CON Man na Mtakatishaji fedha mpiga madeal.., yaani viongozi wetu wa Africa bora kuliko huyu jamaa
Unafikiri full report itatoka? Siyo rahisi kutoka, Trump hakuwa subpoenaed, Sheria za DOJ haziruhusu Sitting President kuwa indicted, ripoti ina vitu vingi sana ambavyo haviwezi kuwekwa wazi kwa sasa, Congress wakiomba na kuipata full Mueller report kila kitu kitakuwa wazi.Obama weaponized FBI .if trump is cleared no collusion hiyo lawsuit itakayokuja .They will have to appoint a special counsel to investigate the COUP.Did you know Obama Chicago Mke wake Michelle alipiga simu kwa chief police eti hawaamii Chicago police Peleka FBI case watu wa Obama will handle .BIDEN May be investigate and Obama
Democrats fools and fake news outlets propagated this Russian Hoex to the limit.Huwezi kataa hii kitu mkuu.Democrats baada ya kushindwa na Trump wakaanza kutafuta kisingizio cha kufeli kwao.CNN walishupalia sana hili hoex mpaka wakafika kipindi wanaanza kutoa conclusion kabisa kwamba Trump lazima atakuwa na kesi ya kujibu.Ila mtakuwa mmepata fundisho kwamba,uchaguzi wa USA ni zaidi ya kile mnachoambiwa na Media.Not a which hunt, that’s how democracy work. You investigate in order to find out where the evidence leads you and then you make your final conclusion.