MwanaPekee
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 382
- 386
Nadhani idara zote zinazohusika na usafirishaji hususani kwenye sekta ya utalii kuna haja ya kutumia nafasi hii kwa wigo mpana sana.
Mfano, pale Kenya bado wanapambana na covid-19 wakiwa wamefunga mipaka, Rwanda, Afrika ya kusini, Misri nk, nchi hizo ni baadhi ya washindani wetu kwenye sekta ya utalii kwa kiasi kikubwa.
Hapo nyuma watalii walikuwa wanapitia/kushuka huko then ndiyo waanza safari ya kuja na makombo ya dollar hapa nchini, so kutokana na baadhi ya nchi kama Russia na nyinginezo kuanza kuruhusu kuja moja kwa moja nchini itakuwa nafasi ya pekee kujizatiti ili watalii waendelee kuja direct mpaka KIA, JKNIA au AAKIA.
Taarifa hii hawataipenda wahuni Akina Membe, Zito, TL, Mbowe nk! Pole yenu, makiwani kwenu!
We are here waiting for you
Amen.Habari za matumaini kwenye sekta ya utalii. Angalau ndugu na jamaa waweze kuendelea kutengeneza mkate wao wa kila siku
I can assume Russian decision to open it's borders for people coming from the listed countries was based on the principle of reciprocity, i.e They opened for Tanzania because we opened our borders for them.The efforts taken by our leaders to fight the pandemic, have now been seen by those who have eyes, and by those who know what the truth is. Russia becomes the Tanzania's ambassador to the rest of the world as far as COVID-19 is concerned.