msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Brother from another mother while blacks/Africans are the number one target for the local Russians in the streets of Moscow, St. Petersburg, etc.If Russians could stick with Africa even after the collapse of the USSR the story would be different. They were brothers from another mother....anyway, it is not too late. But the game and the playing field have changed so much
Bora umesema wewe.I donk like Russians because hawatuoni kama africans ni Watu...
Bora umewakumbusha baadhi ya watu maana wanatumia hisia kutoa mawazo. Russia atakuwa anaikumbuka Afrika akiwa amebanwa tu, na akipatana na majirani tu hawezi kuendelea na sie waafrika. Hao viongozi wanatoka kwenye jamii zao ukisikia watu weusi wanauwawa mara kwa mara urusi usije ukadhani Putin anawaza tofauti na wananchi wenzake.Brother from another mother while blacks/Africans are the number one target for the local Russians in the streets of Moscow, St. Petersburg, etc.
And this is BAD,Brother from another mother while blacks/Africans are the number one target for the local Russians in the streets of Moscow, St. Petersburg, etc.
If Russians could stick with Africa even after the collapse of the USSR the story would be different. They were brothers from another mother....anyway, it is not too late. But the game and the playing field have changed so much
Russia anaweza akawa rafiki mzuri wa Afrika kuliko yale majambazi ya US
Well saidWapi mtu mweusi hauawi? Marekani, Israel, Saudi Arabia, India.....tena inatia uchungu mno huko Marekani kwa vile rais wao ni 'mwenzetu'
Mtu mweusi ameletwa duniani kuteseka tu, kwao au ugenini. Ndiyo maana viongozi wetu wamepewa vichwa vlivyojaa maji machafu
Brother from another mother while blacks/Africans are the number one target for the local Russians in the streets of Moscow, St. Petersburg, etc.
Wao ndio wanakwenda kusambaratika.US watazisambaratisha nchi zote zinazounda BRICS