Russia May Resume Tu-160 Bomber Production As Part Of Air Force Modernization, Defense Ministry Says

Aircraft carriers ni kwa ajili ya vita ndogondogo, hizo za kwenda kupigana na Liby, kwa vita kuwa hazina nafasi kabisa,
 
Mkuu masuala ya thrust vectoring za 2/3D Wamerikani walicopy kutoka URUSI, usione majigambo gambo yao yasio ni msingi - ni wezi wakubwa wa teknolojia za Kirusi ya teknolojia fighter planes, APCs na Vifaru! Walikuwa wameweka vituo vya Radio huko Japan na Korea Kusini wakiwarubuni mapilot wa Kirusi watoroke na latest jetfighter za Kirusi, wakifanikisha watapewa hifadhi ya kisiasa na fedha nyingi - Mwishoni mwa miaka ya SABINI Pilot mmoja aliye julikana kama Berenko kama nakumbuka vizuri aliwahi kutorosha ndege aina ya MiG-25 kuipeleka Japan, Wamerikani na Israel walikuwa na usongo sana na ndege hiyo iliwapa wakati mgumu wakati wa vita vya Yomu Kipur (sijui kama nimepatia) ilikuwa inatumika katika upelelezi wa mwenendo wa majeshi ya Israel, Wamerikani na Israel walijaribu sana kui-intercept bila mafanikio ilikuwa inaruka juu sana na kwa kasi ya ajabu.

Mrusi huyo baada ya kutua katika kiwanja sijui cha NARITA huko Japan, alipokelewa baadae Wa Merikani na Wajapan wakaichunguza ndege hiyo ya Kirusi, wakai-dismantle na kuipakia kwenye meli kwenda Merikani kwa uchunguzi zaidi actually walikwenda kufanya reverse Engineering matokea yake ndio Wamerikani wakahunda F-14 TomCAT, ukiangalia vizuri ni carbon copy ya MiG-25 kuanzia kwenye twin ladder za nyuma nk.

Hati hii design ya B-2 na F-117 wamecopy kutoka kwenye michoro na ndege walioiba kutoka Ujerumani mwishoni vya vita vya pili vya Dunia - hawakutumia ubunifu wowote wa kwao katika kuhunda B-2. The brains behid the flying wing walikuwa ni wana sayansi ma NAZI wa Kijerumani wakati wa utawala wa Hitler, ndege hiyo ilijulikana kama Horten Ho-2 flying Wing ilifanyiwa majaribio mwaka 1935.Check hapa
hio mig iliopelekwa japan na victor berenko ruba wa urusi haikua superior sana kwa taknolojia ya jets kipindi kile,hilo hata belenko mwenyewe alikiri,isitoshe hata hio ndege yenyewe ya belenko marekan waiwarudishia warus kwa kuwa hawakuona kitu cha kubaki nacho,kuhusu B-2 spirit ruptor ilitengenezwa miaka ya 197... huko cdhan kama kipind hiko wajeruman walikua na stealth plane..kuhusu teknolojia za ndege ni kweli USA waliiba baadh ujeruman after WW2 na sio USA tu hata USSR waliiba sana kwa mjeruman.....kuhusu urusi kuibiwa teknolojia ya stealth na marekani hio c kweli kwan marekan ndo nchi pekee ambayo imetumia stealth plane kwenye real combat kule iraq afghanstan na kwenye no fly zone kule libya...isitoshe urusi walikuja kutengeneza stealth bombers baadae sana baada ya marekani sasa cjui hapo waliibiwa vipi
 
sio tu mig,hata su 27 hadi leo zipo kweny jeshi la marekani zinatumik kufundishia marubani
 
hakuna duniani iyo technolojia ya stealth
stealth zipo mkuu inategemea defense system yako, warusi wanadai S-400 ni kiboko ya stealth lakin bado haijawa proved kwenye combat..analyst weng wansema F-22 ni moja kati ya very advanced stealth fighter jet
 
nani kasema kuna stealth duniani,f-117 isipewa kila sifa lakin kilichokuj kutokea hadi leo USA awataki kuamin
 
Back
Top Bottom