wote wapo hivyo-pindi wanapopata nafasiPatachimbika manake waislamu waliopo russia wana very strong unions zenye aim ya kuhakikisha uislam hauchakachuliwi.
Naona Warusi wamechachamaa. Nyie mlioko Russia sasa anzeni kurudisha majeshi nyumbani.
Russian nationalists march in Moscow - Europe - Al Jazeera English
Nazi-saluting nationalists 'Take back Russia' march in Moscow over Muslim migrants | Mail Online
huku tupo mbali sana-Mi ninachoogopa ni usalama wa zile facility za nuclear weapons...jamaa linalofanya kazi pale linaweza kuwa ni extremist (hardcore Nazi or hardcore islamist) likaamua kupigisha shoti waya mwekundu na wa bluu halafu sote tukanyeshwa na mvua ya Armageddon....:lol:
Mkuu acha kutuzuga bwana, nasikia ile ya Mbagala tu wewe ulikamatiwa Mlandizi, sasa hili la nyuklia si ndio utakimbilia kwa Madiba...:lol:Acha tufe tu...kwa hali hii $1=1800Tsh
huku tupo mbali sana-
mbona ni known-kuwa hata kesho ukiwa unahitaji nuclear materials/ingredients nenda former USSR nations,utapata pasipo taabu-ndo maana alqaaeda walitangaza intention yao ya kuwa na nuclear facilities wakawa wamejipalia makaa
Kwa kifupi hali ya usalama dunia nzima si nzuri kabisa, na pia kuna kafununu ka vita ya 3 ya dunia, ngoja nikatafute nitapost hapa ...
There's nothing new about the rumors of the WW3 which have been in place since the 1960's
The current scenarios are new...
The current scenarios are new...