Nimesoma mahali PENTAGON wanasema eti ni uongo ila katka maelezo yao wamejikanyaga sana ila habari kuu ndo hiyo US DRONE INTERCEPTED BY RUSSIANS TROOPS IN CREMEA.
Itakuwa lugha iliyotumika baadhi ya watu hawakuekewa kwani wanasema Russia wametungua drone ya marekani ila picha waliotoa ni ya drone ambayo ni nzima na ambayo ni armed , mbona wasionyeshe hayo mabaki! Propaganda tuu hizo
Mkuu hiyo ni kawaida kwani hata simba akiwa anamvizia anenda taribu na timing ya hali ya juu, tena haendi mmoja, Russia siyo nchi ya kupiga bali kupigana nayo, hvyo tahadhari mapema ni bora
US+EU are in trouble. If they will persist their aggression against Russia, the fact is Russia will stop the flow of gas to Europe. This will results to US laying gas pipes to Europe for supply in a minimum of three years. The question is, how Europe will survive in three years with a deficit of 30% gas supply? Definitely, it will be horrible in stay in Europe.
Embargo anayopigwa Russia sasa hivi, subiri moto wake. Nakubaliana na wewe kuwa EU wamefanya kosa kubwa sana.
Ila na Mrusi, anaanza kufanya kosa kubwa sana. Kwanza hao Crimea wenyewe ndiyo watalia sasa hivi kwa sababu asilimia 75 wanaishi kwa utalii. Na nchi hiyo, watalii asilimia 60 walikuwa ni Ukranians, kimenuka. Wengine walikuwa watu wa West Europe na hasa hao EU, kimenuka. Wamebaki hao matajiri kadhaa wa Kirusi ambao na wao si lazima waende hapo kwani kuna maeneo mengi mazuri ya kutisha na bei mbaya sana ambako wao uwezo wanao, kwa nini wasiende huko?
Hii ni heri wangelikaa MEZANI ili kila mtu atoke kifua mbele, wanachokifanya wote SI KIZURI. Ila mwisho wa siku, Mrusi ataumia zaidi kwani itakuwa ni yeye against the World.
A bankrupt EU messed up Ukraine to try and cause problems at the Russian border but Putin outwitted them, Ukraine is going to pay for it by loosing Crimea and the western media is going to blame "weak indecisive " Obama.