Russia Deploys Frigate with Hypersonic Missiles into Mediterranean Sea

Russia Deploys Frigate with Hypersonic Missiles into Mediterranean Sea

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,435
Reaction score
23,092
Russia Deploys Frigate with Hypersonic Missiles into Mediterranean Sea

14 APRIL 2024
Frigate Marshal Shaposnikov

After Russian President Vladimir Putin told the United States that intervening against Iran would result in Russia intervening to support Iran, a Russian frigate with hypersonic missiles has entered the waters of the Mediterranean Sea.
The Russian frigate equipped with hypersonic missiles entered the waters of the Mediterranean Sea this Sunday,after crossing the Suez Canal, after which Moscow stated that the vessel "will fulfill its assigned tasks", without further details.

The frigate Marshall Shaposhnikov, transited the Suez Canal. "The ship's crew continues to carry out their assigned tasks as part of their long sea journey," the Russian Ministry of Defense said this morning.
"In the Mediterranean Sea, the Pacific Fleet frigate will operate in line with the previously planned combat and training line." the Ministry continued.
At the moment, there are no further details about this plan, or how long the frigate will remain near the Israeli-Iran conflict zone.

MY TAKE:
To me this is like spilling gasoline into fire.Humanity is mad,and is preparing for it's own annihilation.Its difficult to see how this very chaotic and dangerous situation can be reversed,we just have to wait for the end game.Satan is now in the helm and is gathering nations for war as clearly stipulated in Revelation 16:13-14

13 Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.
 
JE UMESALI KABLA YA KUSHIKA SIMU YAKO ASUBUHI HII MAANA VITA NI KALI View attachment 2964057
Mkuu I have.Mimi kuleta taarifa hizi ni kuwa-alert wana wa Mungu kwamba we do not have much time,kwa hiyo kila Mwana wa Mungu ajiandae, Bwana Yesu anarudi,Mathayo 24 inalionyesha hili wazi.Huu ni mwanzo wa mateso(utungu) ya binadamu in preparation for the day of the Lord.

Mathayo 24:6-8
6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.
8 Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
 
Hili lilikua wazi kabisa kwamba Russia anatafuta nafasi ya kuionyesha dunia na America kwa kupitia kuisuport Iran, kwamba yeye ndie mbabe wa vita na simba wa yuda.
Ebu ngoja tuone huu mnyukano kama utasaidia ukaiondoa sisiem madarakani.
 
Mbumbumbu wa Mwamposa wakikusikia unasema Russia ni Simba wa Yuda kazi unayo.
 
Mkuu I have.Mimi kuleta taarifa hizi ni kuwa-alert wana wa Mungu kwamba we do not have much time,kwa hiyo kila Mwana wa Mungu ajiandae, Bwana Yesu anarudi,Mathayo 24 inalionyesha hili wazi.Huu ni mwanzo wa mateso(utungu) ya binadamu in preparation for the day of the Lord.

Mathayo 24:6-8
6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.
8 Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
Unyakuo soon utahappen kimbembe watakaobaki dunian heri wanaojiandaa
 
Netanyahu na jeshi lake wamefyata mkia baada ya wanaomsaidia kumpa silaha na ulinzi wa nchi yake USA kumwambia kuwa asithubutu kujibizana na wababe wa eneo hilo (Iran) maana atachokifanya Iran safari nyingine hakitoweza kuzuiliwa sio tu na Marekani, Uingereza au Ujerumani bali Ulaya nzima itashindwa kuzuia mvua za mashambulizi makubwa yatakayofanywa huko Israel na Iran.

Biden ashamuonya Netanyahu kuwa kama yeye anajifanya ni kichaa, basi Ayatullah ni mwendawazimu kabisa. Akisema Israel tutakupiga huwa hatanii, anapiga kweli.

So Israel hawezi kuthubutu kuingia vitani na Iran bila support ya bwana wake Marekani maana kiuhalisia Israel haina jeshi wala wanajeshi wa maana wa kupambana Iran iwe angani au ardhini. Hapo chini kuna picha ya mjeshi wa Israel na wa Iran. Mtu mwenye akili anaweza kuona utofauti na umakini baina yao.
 
Attachments

  • IMG_20240107_140414.jpg
    IMG_20240107_140414.jpg
    57.1 KB · Views: 12
  • images.jpeg
    images.jpeg
    30.8 KB · Views: 15
Unyakuo soon utahappen kimbembe watakaobaki dunian heri wanaojiandaa
Forget mkuu hakuna unyakuo,dhana hiyo ni ya kitapeli na haiko supported na maandiko kabisa.Soma Biblia yako vizuri ukiwa umetulia utaliona hili.Kwa kuanzia sikiliza clip ifuatayo

View: https://youtu.be/IjJwFZipGpE?si=UIkPFFYqjoi09G3l

Mwanafunzi wa kweli wa Bwana Yesu hawezi kuamini concept ya unyakuo,lazima tupitie Dhiki Kuu.Neno la Mungu linasema,

Yakobo 1:2-4
2 Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali;
3 mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.
4 Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.

Na katika 1 Petro 1:7
7 ili kwamba kujaribiwa kwa imani yenu, ambayo ina thamani kuu kuliko dhahabu ipoteayo, ijapokuwa hiyo hujaribiwa kwa moto, kuonekane kuwa kwenye sifa na utukufu na heshima, katika kufunuliwa kwake Yesu Kristo.

Kwa maandiko hayo peke yake ni wazi kwamba tutapitia Dhiki Kuu,kwa kuwa majaribu huleta saburi,na lazima Imani yetu ipimwe, ili Mungu aone kama kweli tunastahili kuurithi Ufalme wa Mungu.Viandiko vinavyotumika kuhalalisha kwamba kuna unyakuo ni vya kughusi mkuu.Na nia ni nini,kupunguza kasi ya wana wa Mungu kujiandaa kwa ujio wa Kristo na kumtafuta Mungu.Acheni kuamini kila kitu,someni Biblia wenyewe.Maandiko ni mengi sana yanayo onyesha wazi kwamba hakuna unyakuo.Luckily enough, ushahidi upo unao onyesha wazi concept hiyo imeanzia wapi.

Hakuna siri mkuu,kila jicho litamuona.Soma hapa.
👇
Ufunuo wa Yohana 1:7
7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.

Kwa kukusaidia zaidi,soma maandiko yafuatayo.

i).Mathayo 24:21-22
21 Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.
22 Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.

ii).Ufunuo wa Yohana 7:13
13 Akajibu mmoja wa wale wazee akiniambia, Je! Watu hawa waliovikwa mavazi meupe ni akina nani? Na wametoka wapi?
Ufunuo wa
14 Nikamwambia, Bwana wangu, wajua wewe. Akaniambia, Hao ndio wanatoka katika dhiki ile iliyo kuu, nao wamefua mavazi yao, na kuyafanya meupe katika damu ya Mwana-Kondoo.
Ufunuo wa
15 Kwa hiyo wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, nao wanamtumikia mchana na usiku katika hekalu lake, na yeye aketiye katika kiti cha enzi atatanda hema yake juu yao.
Ufunuo wa
16 Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala hari iliyo yote.

iii)2Wathesalonike 2:3-5
3 Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yo yote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu;
4 yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.
5 Je! Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwapo pamoja nanyi naliwaambieni hayo?
 
Sidhani kama Russia anaweza toa full support endapo Israel akaingia vitani na Iran. Sioni uwezekano wa Iran kupigana na Israel.
 
Sidhani kama Russia anaweza toa full support endapo Israel akaingia vitani na Iran. Sioni uwezekano wa Iran kupigana na Israel.
Mlisema Iran haiwezi kuishambulia Israel,it now has.One thing you forget ni kwamba haya mambo ni spiritual,nation's do not do it at their own will, they are pushed into it by the forces of darkness-Satan.
 
Sidhani kama Russia anaweza toa full support endapo Israel akaingia vitani na Iran. Sioni uwezekano wa Iran kupigana na Israel.
Hauoni uwezekano wa Iran kupigana na Israel au hauoni uwezekano wa Israel kupigana na Iran.

Iran imeshaonesha kuwa inaweza kufikia eneo lolote la Israel na dunia kwa ujumla. Kipimo cha kwanza kuwa Iran inaweza kuitwanga Israel ni pale ilipotoa taarifa mapema kabla ya kufanya shambulizi ili Israel na washirika wake wote waweke ulinzi wao wa anga na ardhini. Baada ya Israel na washirika wake kuweka ulinzi wao wa anga na ardhini kuanzia Israel kwenyewe, Jordan, Iraq, Syria, Saudi Arabia na Misri.

Mu Iran akafanya kipimo cha pili cha kuachia makombora yake ili aone kama huo ulinzi walioweka Israel na washirika wake utaweza kumzuia yeye kuifikia Israel. Kwa bahati nzuri pamoja na kuwapa taarifa kabla ya tukio na pia kuweka ulinzi wao katika nchi zote hizo hapo juu, lakini shambulio lake lilifanikiwa kupita hadi Israel japo kuna baadhi yamezuiwa lakini mengi yamepenya ngome hadi kuingia Israel. Wa Israel na media zao zote wamejifanya kuficha ukweli kuwa hakuna kilichotokea. Anyway hii ipo dunia nzima kwa jeshi au serikali kuto kiri kirahisi nchi imepata madhara baada ya kushambuliwa. Hivyo kwa kelele tunazozisikia hadi Biden kusitisha safari yake jana, ni wazi kuwa shambulio liliacha madhara makubwa kwa Israel. Hii ni tofauti na Israel ambayo hufanya shambulizi kwa kuvizia na kushtukiza tena katika vinchi visivyokuwa na ulinzi wowote wa maana huko Lebanon na Syria.

Ukiona mtu anakupa taarifa kuwa nitakuja kwako kukupiga huku akijua kuwa una watu wa kukusaidia kupigana, basi ujue huyo mtu anajiamini na ana uwezo wa kukudhibiti. Kama Marekani, Uingereza, Ufaransa na nchi za magharibi hazimpi support mu israel basi ni wazi kuwa nchi hiyo haiwezi kamwe kuingia vitani na Iran.

Fikiria kama Iran ingeamua kufanya shambulizi la kushtukiza kama inavyofanyaga Israel huko Lebanon bila kutoa taarifa iliyosaidia kuweka ulinzi wa anga kwa Israel na washirika wake leo hii hali ingekuaje Israel?
 
Mwongo, mpotoshaji na azidi katika hayo na mengine ya dhambi na anayejitakasa azidi kujitakasa kila mtu atavuna wakati ukifika.
Mimi mkuu nimekupa maandiko yanayo onyesha kwamba hakuna unyakuo.Sasa na wewe nipe basi maandiko yanayo onyesha unyakuo upo,ili na mimi nijifunze kutoka kwako.
 
Hili lilikua wazi kabisa kwamba Russia anatafuta nafasi ya kuionyesha dunia na America kwa kupitia kuisuport Iran, kwamba yeye ndie mbabe wa vita na simba wa yuda.
Ebu ngoja tuone huu mnyukano kama utasaidia ukaiondoa sisiem madarakani.
Kuiondoa Sisiem Wapi!! 😂😂😂😂
 
Hauoni uwezekano wa Iran kupigana na Israel au hauoni uwezekano wa Israel kupigana na Iran.

Iran imeshaonesha kuwa inaweza kufikia eneo lolote la Israel na dunia kwa ujumla. Kipimo cha kwanza kuwa Iran inaweza kuitwanga Israel ni pale ilipotoa taarifa mapema kabla ya kufanya shambulizi ili Israel na washirika wake wote waweke ulinzi wao wa anga na ardhini. Baada ya Israel na washirika wake kuweka ulinzi wao wa anga na ardhini kuanzia Israel kwenyewe, Jordan, Iraq, Syria, Saudi Arabia na Misri.

Mu Iran akafanya kipimo cha pili cha kuachia makombora yake ili aone kama huo ulinzi walioweka Israel na washirika wake utaweza kumzuia yeye kuifikia Israel. Kwa bahati nzuri pamoja na kuwapa taarifa kabla ya tukio na pia kuweka ulinzi wao katika nchi zote hizo hapo juu, lakini shambulio lake lilifanikiwa kupita hadi Israel japo kuna baadhi yamezuiwa lakini mengi yamepenya ngome hadi kuingia Israel. Wa Israel na media zao zote wamejifanya kuficha ukweli kuwa hakuna kilichotokea. Anyway hii ipo dunia nzima kwa jeshi au serikali kuto kiri kirahisi nchi imepata madhara baada ya kushambuliwa. Hivyo kwa kelele tunazozisikia hadi Biden kusitisha safari yake jana, ni wazi kuwa shambulio liliacha madhara makubwa kwa Israel. Hii ni tofauti na Israel ambayo hufanya shambulizi kwa kuvizia na kushtukiza tena katika vinchi visivyokuwa na ulinzi wowote wa maana huko Lebanon na Syria.

Ukiona mtu anakupa taarifa kuwa nitakuja kwako kukupiga huku akijua kuwa una watu wa kukusaidia kupigana, basi ujue huyo mtu anajiamini na ana uwezo wa kukudhibiti. Kama Marekani, Uingereza, Ufaransa na nchi za magharibi hazimpi support mu israel basi ni wazi kuwa nchi hiyo haiwezi kamwe kuingia vitani na Iran.

Fikiria kama Iran ingeamua kufanya shambulizi la kushtukiza kama inavyofanyaga Israel huko Lebanon bila kutoa taarifa iliyosaidia kuweka ulinzi wa anga kwa Israel na washirika wake leo hii hali ingekuaje Israel?
Imetumika akili ya Mrusi katika hili tukio.
 
Back
Top Bottom