Russia, China seek Security Council meeting after US Missile test

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Naona kiwewe kimewaingia baada ya missile test kuwa successful hii ni baada ya ile ya Russia kubuma
Screenshot_20190823-152147.jpeg
View attachment 1188313
Screenshot_20190823-152223.jpeg
Screenshot_20190823-152242.jpeg
 
Ue unaandika maelezo ata kidogo kuhusu habari na sio screenshot..!

Kwani Urusi katest yake lini ikabuma..?
 
Ha ha ha,wanjru bana,hivi kwa mawazo yako unafikiri makombora ya masafa ya kati marekani wakilifyatua kutoka marekani litaishia wapi?,

ntakujibia maana nina wasiwasi na upeo wako,kombora litaishia bahari ya antlantic,
so kwanini marekani wanayaunda?

Simple,
marekani wanataka kuyasambaza kwa nchi rafiki zilizo karibu na Russia na china mfano taiwan,japan,korea ya kusin,uingereza etc,

hiyo ni ukiukaji wa usalama,kwani lengo la kiustaraabu la kumiliki silaha ni kujilinda,kama wewe hazikusaidii kwa maana huzihitaji unapozisambaza maana yake una nia ovu(ulteriol motive),
so kwenda baraza la usalama ni formality tu ili wasije kuonekana hawakuchua hatua za kisheria,
sio kwamba Russia anashindwa kuunda makombora ya masafa ya kati,
kuhusu jaribio lilofail,ujue testing ya Skyfall missile hazijaanza mwezi huu,ni tangu miaka miwili iliyopita na hivyo kuna zingine zilipass,
halafu skyfall ni Long range nuclear powered cruiser missile sio intermidiate ballistic missile kama waliyotest wamarekani juzi,

skyfall ni kombora ambalo linaendeshwa na nuclear reactor ndogo,hili linakwenda kilomita 27000 kwa saa na mbaya zaidi halina limited range,
kwa maana ya kuwa linafyatuliwa toka moscow,linakwenda america ya kusini,linarudi kisarawe kabla halijaenda tua washingtoni,
kwa nilivyosoma linaweza kuwa angani hata mwezi kabla halijashuka kupiga target,
huwezi kulinganisha na kombora la masafa ya kati,

mzee putin leo kamwita waziri wa ulinzi,sergey na kumwambia wachukue hatua stahiki,
maana yake ni kuwa,mrusi ataunda hayo makombora na marekani akiyaweka ya kwake Poland wao wataweka Cuba,
akiweka ukraine,wao wanaweka venezuela,
 
Ujue nakushangaaga sana Mkuu,hivi kwanini unapenda Sana kukimbilia personal attack/character assassination badala ya kujadili hoja iliyowekwa mezani? Ni wapi nimesema kuwa inter medium range missile zikirushwa kutoka Marekani zinafika Russia au unajifanya wewe mjuaji sana ukishasoma heading ya mada huna haja ya kusoma kile kilichomo ndani?
 
Sasa hebu naambie,hizo silaha za masafa ya kati zinamwathili vipi Russia?

Hilo kombora la kilomita 5000 range haliwezi kufika Russia kutoka marekani,

nina hakika hukujua kuwa ili ziwe tishio lazima zikawekwe nchi karibu na Russia,vinginevyo ungeona logic ya nachokisema,

pia mkuu yataka ujue kuwa hata Tomahwk ni kombora la masafa ya kati ili hili ni sea based,
kwa maana linakuja kwenye manowari,ya kivita,
makombora yaliyozuiwa kati ya hizi nchi mbili ,Russia na marekani na haya ya masafa ya kati ,Land based,

pia nchi zingine zinaunda makombora ya masafa ya kati mfano china,iran,india,uingereza,ufaransa etc,
marufuku ilizihusu marekani na urusi pekee,

kwa maana hiyo basi,sioni justification yako kusema kuwa Russia wameogopa sana wakati kombora la masafa ya kati ni just Two stage ballistic missile
 
Aiseee kweli ubishi asili yako,kuna sehemu hapo imeandikwa Kombora litatoka Marekani mpaka Russia?
 
Ngoja nianze polepole labda utaelewa nachomaanisha,
wewe umesema
-"Naona kiwewe kimewaingia baada ya
missile test kuwa successful hii ni baada ya
ile ya Russia kubuma".

Sasa hapa haionyeshi Russia wanaingiwa ,KIWEWE,
kwa sababu ipi,
nikasema hiyo technology sio mpya hata iran,korea ndo makombora yao,huwezi kuunda ICBM eti ushindwe medium range ambayo ni just two stage ballistic missile,

sasa kiwewe kitatoka wapi,maana hata marekani wakilifyatua haliwezi kuvuka Antlantic ocean,

nikasema wanachokwenda kufanya urusi security council ni formality tu,kwani wanajua marekani wanapanga kuyadeploy kwenye nchi jirani na russia ama china,kwahiyo wamepeleka malalamiko formal,ili hata kama wao nao wakiweka kombora cuba kusiwepo na malalamiko,
kuhusu jaribio lilofail kule Russia juzi kati ,nikakwambia mbona hiyo ni aina tofauti ya kombora wala halifanani na medium range,

mpaka hapo,ni wazi wewe umekuja kishabiki na umeanzisha uzi bila kureseach ujue hayo makombora ya medium sio technology mpya kiasi kuwa Russia iingiwe kiweweNgoja nianze polepole labda utaelewa nachomaanisha,

nikasema hiyo technology sio mpya hata iran,korea ndo makombora yao,huwezi kuunda ICBM eti ushindwe medium range ambayo ni just to stage ballistic missile,

mpaka hapo,ni wazi wewe umrkuja kishabibiki na umeanzisha uzi bila kureseach ujue hayo makombora ya medium sio technology mpya kiasi kuwa Russia iingiwe kiwewe
 
Frank Wanjiru tunasubiria mjadala wenu uendelee ili tujifunze bwana.
 
Back
Top Bottom