Russia boots out USAID

 
 
Mkuu Lumumba. Nimefatilia michango yako kwa karibu sana. Lakini kuna point nakuwa sielewi, pale unaposema WB au IMF zinafilisika, pia nimeshawai kusoma article moja ilikuwa inaeleza, mdeni mkubwa wa US si Chana, bali ni social security zao, pia UK ana deni kubwa kuliko China, mwisho wakasema madeni ya China sio problem. Kuna ishu ya msingi pia inasahaulika, inatupasa tukumbuke kuwa katika mataifa makubwa yaliyoendelea (including India, China na Russia), wamarekani ndio wamiliki wakubwa wa viwanda katika nchi hizo...
 
mkuu nahisi kama kuna sehemu umechanganya
China ananunua made ya wamarekani
 
 
 
 
Kuhusiana na wadeni wa USA,ni kweli hilo la kuhusu social security,lakini unapozungumzia wadeni ambao ni foreign government,basi uchina ndo wadeni wakubwa wa US.Zaidi soma hap chini...



http://usgovinfo.about.com/od/moneymatters/ss/How-Much-US-Debt-Does-China-Own.htm

BTW China is the world's biggest creditor.
 
 
hivi ni lini sisi tutaanza ku-scan NGO za kigeni hapa kwetu? maana wengi wana backdoor projects
 
India Ndo Tishio pekee kwa Ustawi wa China, na anacho kifanya USA kwa sasa ni kufanya kila namna kumsimamisha Mchina, Na Chin ili aweze kusavive anamhitaji sana Mrusi, China kwa Urusi haitaji chansi ya biashara bali anacho taka ni Urusi kuja kumpa sapoti Pindi mambo yakiwa mabaya,

USA kwa sasa anaongeza Military Base kule Pasfic, Anaweka Military base, Philipine, Australia, na Japani na korea ya Kusini, na haya mataifa yote ukimtoa Australia mengine yote yana Bifu na China yakugombea Mipaka

Na nchi nyingi za Asia hazifurahii hata siku moja ustawi wa China, Japan na India zikiwa ndo Vinara wa kuto taka kuiona China ikiwa Super power, na kwa speed ya India kwa sasa ni kwamba Asia kutakuwa na Super power kama tatu hivi India, China na Japan,

Na Bila Japani hakuna China, kwa sbabau Japan ndo the reading trading partner wa China, Kwa India yeye kwa sasa anajimaarisha Kijeshi, na Inajimarisha kijeshi si kwa ajili ya kupigana na Pakstan no ni kwa ajiriya Kupambana na China

Usha wahi kujiulza ni kwa nini India na Pakstan hajapata misuko suko baada yakuanza kutengeneza Nuiclea? Jibu ni kwamba USA anafahamu umuhimu wa India kumiliki Nuclea

So Uchina anabakia kumshikilia Murusi kwa kujua kwamba Urusi pekee ndo anaweza msaidia Chin make nchi zingine zote majirani haziivi
 

Una ndoto za mchana wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…