pole zangu mie au pole zako wewe???ningependa kujua for reference purposes hao wasichana uliotembea/unaotembea nao kama sio mashankupe.........kama una guts tuwekee hapa picha zao...watu wajudge hapa..km wapya au used!..watu type zako nazijua saana...mashauzi tu
Gossips!That was during a Charity event. Google utamuona the current girlfriend wa Russell.That will solve all the questions hapa.
Is wandarful very much! Very big wandarful!
Ndo maana yake! Sawa leo Masanilo nitoke na Wema Sepetu ama Irene Uyowa halafu ninyanyue bango....Akina Fidel80, Geoff, Xspin wataniona nimetokea wapi?
Used sana huyo dada! Hata wavuzi wa samaki Mwanza wametafuna huyo! Russel asijisifu na kitu ilo kwenda mileage kibao
haters...!!! kama kawaida,mko kila corner...!!! kah...!!! taratibu...!!!
Do not take me serious! relax tusogeze siku! vipi kama nikiweka picha zako lol!
teh teh teh teh haya bana shes virgin!
yaaani hapo ndo nakupendeaga tu.....
zeenj namuogopa tu mzenj wako yule mwenye wivu kama kuku wa mayaiTeh teh teh habari za kwako! wakaribishwa Zeenj
Hahah Flavi hongera ila u better be watchful coz jamaa (Russel) anatabia ya kutoka na models ww co wa kwanza wala wa mwisho list ipo kubwa tuuuu....so miezi mi3 umejitahidi...kama vp m2mie upate advantage ili akiku-damp uwe angalau ume-pata usupastaa wa mtoni...n ofcourse Russel is rich, He is big shareholder of DEFJAM records, former owner of Phatfarm.....e.t.c
kumbe tunashindana?? mi sijajuaga....
nyie mnapenda sana kutuonea
mara mileage imeenda sana, mara kicheche, maharage ya mbeya, katumika sana. eeeeeeeeeh jamani
kufanya tunafanya na nyie iweje sisi tu ndo we end up being named??
big up
vilevile used haijalishi mara ngapi,ata ikiwa mara moja ni used after that,,,nyie mabikira mlioa mabikira na baada ya hapo si wote used???
na habari ndo iyo