Rushwa ya uchaguzi Mbarali

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Kikosi cha ulinzi CHADEMA,Red Briged, Mbarali chakamata vifaa vyenye picha ya Magufuli vikigawiwa usiku huu kuwahonga watu wampe kura Magufuli.

Kamanda wa Red Brigedi Mbarali amethibitisha tukio hili. Kwa sasa Red Breged Mbarali wanaendelea na msako kuzuia rushwa hii ya uchaguzi. Muda huu Red Briged wamezingira nyumba moja ambayo imeonekana watu wakiingiza mabox zaidi ya hamsini. Kamanda wa Red Briged wilaya Mbarali amesema nyumba hiyo itakua chini ya ulinzi hadi uchaguzi uishe.

Habari zilizo tufikia tena; RB wamekamata mabox zaidi eneo la kata ya Mapogoro. Tutaleta picha zaidi baadaye pindi mabox yote yatakapo letwa base.

 
Wautasema ni vya kutoa huduma ya chai chakula kwa mawakala wa ccm wamesahau kuwa havitakiwi kuwa na picha yoyote ya kisiasa
 
Hiyo nyumba yenye hayo masanduku ichomeni moto.
Wakitoka watu humo waitieni wezi wapigwe moto na wao.
Huu msako uwe nchi nzima, ngazi zote.
 
Hiyo kesi hakikisheni haifiki polisi, kila kitu wamalize kabla hawajafika.
Polisi hawana jema hata kidogo.
 
Pamoja sana...walidhani kutupiga marufuku ya mita 200 ndo watafanikiwa hila zao....walichosahau ni kuwa mikakati yao yote tayari tunayo....kuanzia Kingunge, Lowassa, Sumaye na wengine tunajua watakuwa MSAADA mkubwa sanaktk kutupa mikakati ya kuzuia WIZI wa kura mwaka huu
 
subirini waje polis hapo watageuza kibao. hawana jema hapo. ndo kisa cha kupiga marufuku mikusanyiko ili mambo yao yaende vizuri...
 
Hata hapa maeneo ya chimala na Igurusi nimeyaona hayo majagi kwa watu wa CCM, wengi wamepewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…