kweli kwa mungu mbali aisee unataka kutuaminisha kuwa hao ndio waathirika wakuu wa HIVimekua kawaida kwa wanafunzi vyuon kutembea na ma lecturer ili kutopata sup or kudisco hii hali inakera kwa wale ambao wanasoma kwa nguvu zao na kuhatarisha maisha ya vijana wengi ambao ni taifa na viongoz wa kesho kwa kutoana na wengi wao kuishia kugraduate with HIV/AIDS...............serikali inatakiwa kutupa jicho na upande huu pia sio kuzalisha kizazi cha wagonjwa watakao tumikia taifa kwa muda mfup then upotea
imekua kawaida kwa wanafunzi vyuon kutembea na ma lecturer ili kutopata sup or kudisco hii hali inakera kwa wale ambao wanasoma kwa nguvu zao na kuhatarisha maisha ya vijana wengi ambao ni taifa na viongoz wa kesho kwa kutoana na wengi wao kuishia kugraduate with HIV/AIDS...............serikali inatakiwa kutupa jicho na upande huu pia sio kuzalisha kizazi cha wagonjwa watakao tumikia taifa kwa muda mfup then upotea
Jamani mtoa mada anaeleza kitu cha ukweli nami nina ushuhuda kwa kitu kilichowahi kunitokea nikiwa chuoni.Hapa mtoa mada anaeleza ni namna gani malecture wanavyo mis use power kwa vile wao ndo kila kitu kwenye performance ya chuo basi inakuwa ndo kama rungu kujipatia wasichana kirahisi kwa vitisho vya kukusupisha na disco mbaya zaidi ukute situation ya hivi vi lecture vijana na mwanafunzi wa kike ambaye una sifa ya kauzuri ndo utakoma ubishi haya mambo jamani yapo.
Nendeni mkaone pale UDOM department ya Account and Finance au fanyeni research mtaelewa mtoa mada anachokieleza tusiwe wabishi kirahisi hivyo.Ni kweli malecture baadhi yao wanatunyima uhuru wasichana na boyfriend zetu tukiwa machuoni.
Hata ungekuwa ni wewe usingewaacha...... Mabinti wabichiwabichi wamenona matiti yamesimama kama ncha ya mshale wa muwindaji wa kisukuma halafu wanakaa mbele darasani na vimini vifupi in such away that kila kitu unakiona bila kizuizi.... Kisha vichwani wako empty headed na wakati wa ku-sign course work wanakuomba huku wanalia uwaongezee maksi kwa ahadi kwamba "nisaidie mwalimu chochote unachotaka nitakupa....." Naapa hata wewe uliyeleta mada hii ingawa bila ushahidi ungekuwa wewe ndio "Lecturer" usingewaacha maana kila mwaka sampuli mpya (makontena mapya yanaingia) with different cargo manifesto!!!!!!!
Anyway, mimi sina ufahamu sana kuhusiana na utungaji wa mitihani ya chuo. Lakini ninafikiri kwa vyovyote vile mitihani ya chuo huwa haisahihishwi na lecturer aliyefundisha pakee. Najua huwa kuna external examinar. Na ninakumbuka hata mimi nikiwa UDSM, niliwahi kushushwa marks zangu kutoka A hadi B+, nilipouliza, nikaambiwa external examiner ndiye aliyeshushwa. Sasa nashangaa mnayesema eti lecterer anatumia lungu la kukukamata. Au huko UDOM hakuna maexternal examiner?Jamani mtoa mada anaeleza kitu cha ukweli nami nina ushuhuda kwa kitu kilichowahi kunitokea nikiwa chuoni.Hapa mtoa mada anaeleza ni namna gani malecture wanavyo mis use power kwa vile wao ndo kila kitu kwenye performance ya chuo basi inakuwa ndo kama rungu kujipatia wasichana kirahisi kwa vitisho vya kukusupisha na disco mbaya zaidi ukute situation ya hivi vi lecture vijana na mwanafunzi wa kike ambaye una sifa ya kauzuri ndo utakoma ubishi haya mambo jamani yapo.
Nendeni mkaone pale UDOM department ya Account and Finance au fanyeni research mtaelewa mtoa mada anachokieleza tusiwe wabishi kirahisi hivyo.Ni kweli malecture baadhi yao wanatunyima uhuru wasichana na boyfriend zetu tukiwa machuoni.
ma lecturer wana uwezo wa kupita hata kwa watu ishirini ukiachilia mbali hao nao pia wana watu wao na katika hao ishirin co kwamba wote ni wazima na ukiangalia rate ya wanafunzi waathirika vyuoni inaongezeka kila cku
Shule za sekondari zinazoongoza kwa kufanya vizuri kwenye mitihani ya taifa ni za wanafunzi wa kike. Walimu wa huko wachunguzwe.
chuma huliwa na kutu