Rushwa ya ngono vyuoni

Rushwa ya ngono vyuoni

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,727
Kwa sasa suala la rushwa ya ngono, vyuoni na mashuleni, limepamba moto, je;
1) ni nini chanzo chake?
2) hakuna makubaliano kati ya wahusika?
3) kama hakuna makubaliani kati ya wahusika, ni rushwa kweli au ubakaji?
4) uvumbuzi wake ni upi?
 
  1. Nature
  2. Hakuna, kilichopo ni kukwamishana
  3. Ni kama namba 2 hapo juu
  4. Ni gharama kubwa lakini inawezekana kama mamlaka itaamua kuwekeza kwenye huo uvumbuzi
 
Kwa sasa suala la rushwa ya ngono, vyuoni na mashuleni, limepamba moto, je;
1) ni nini chanzo chake?
2) hakuna makubaliano kati ya wahusika?
3) kama hakuna makubaliani kati ya wahusika, ni rushwa kweli au ubakaji?
4) uvumbuzi wake ni upi?
Yawepo makubaliano au yasiwepo ni haramu (yaani kinyume na maadili). Unapolazimisha ni unyanyasaji na kama kuna makubaliano (vigumu kuonyesha) kuna kuwa na mgongano wa kimaslahi (conflict of interest). Mwalimu (kuanzia primary hadi chuo kikuu PhD) kwa ujumla haruhusiwi kutembea na mwanafunzi wake FULLSTOP.
 
wanafunzi ni watamu ukilinganisha na wake za maprofesa wanaovaa madera na kushinda nyumbani kwenye mazizi ya ngombe ,na pia hawajui kuvaa, yani watoto wa chuo wanashawishi sana
 
Professor anamiaka 56 anatembea na msichana wa chuo wa miaka 22 sio fea kabisa ni matumizi mabaya ya mamlaka.
Ni dhambi sana mwanafunzi akikataa ajiandae kusap,kufreez au hata kudisco kabisa hapo ukiangalia ada yenyewe mpaka ukoo ukutane wakuchangie ndo uende chuo .hii Dunia ni ngumu sana .
 
Rushwa hutolewa na dada zetu kwa waalimu ili wafaulu na wengine wanataka wafaulu vizuri. Sijui kwanini wao ndio huonekana kama ndio victim kila siku. Hakuna anayebakwa, wanakubaliana in exchange ya mitihani, majibu au good grade. Kinachoumia hapa ni elimu na ajira wazipatazo kwa ufaulu wao. Na hakuna lakuvumbua, labda kama ulimaanisha ufumbuzi wa tatizo la kupeana grade nzuri na majibu, lakini ngono wanafanya tu hilo halina cha mwalimu au mwanafunzi.
Nasio wote wafanyao hupeana mitihani, wapo wafanyao kwa hisia zao tu.
Ukitaka kuzuia kujamiihana zuia tangu nyumbani hadi huko guest house. Ngono sio tatizo, tatizo ni uadilifu.
 
Professor anamiaka 56 anatembea na msichana wa chuo wa miaka 22 sio fea kabisa ni matumizi mabaya ya mamlaka.
Ni dhambi sana mwanafunzi akikataa ajiandae kusap,kufreez au hata kudisco kabisa hapo ukiangalia ada yenyewe mpaka ukoo ukutane wakuchangie ndo uende chuo .hii Dunia ni ngumu sana .
Mbona Mzee Mengi KAMUOA Klyn nini kipya?! Ingekuwa haipiti sawa. Na vipi kuhusu lectures wakike/wamama au wabibi wao hawatoi ngono?!
 
Kuna moja hivi nimetoka kwenye kipindi chake na ni mdogo kwangu kiumri lakini ananipiga pindi. Nataka nimbandue sasa sijui yangu itakuwaje wakati yeye ndo mwalimu na mimi ni mwanafunzi wake. Uzuri hajaolewa ila ni single mother. Hii nayo ni rushwa ya ngono nikifanikiwa kumla?
 
Ikitokea ukamla, hizo ni hisia tu hakuna rushwa hapo. Rushwa ni pale atakapokwambia hakupi grade nzuri mpaka umbandue au kama usipombandua utafeli.
 
Kwa sasa suala la rushwa ya ngono, vyuoni na mashuleni, limepamba moto, je;
1) ni nini chanzo chake?
2) hakuna makubaliano kati ya wahusika?
3) kama hakuna makubaliani kati ya wahusika, ni rushwa kweli au ubakaji?
4) uvumbuzi wake ni upi?
Mnayakuza mambo ambayo hata hayapo Makubwa kihivyo Masomo yapo mengi vile hivi huyo mtoa rushwa ataliwa na wangapi?. Hayo mambo yanatokea tu hata mtaani kwenu ila sasa siyo kila ukiona watu wametoboa unafikiri rushwa ya ngono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna moja hivi nimetoka kwenye kipindi chake na ni mdogo kwangu kiumri lakini ananipiga pindi. Nataka nimbandue sasa sijui yangu itakuwaje wakati yeye ndo mwalimu na mimi ni mwanafunzi wake. Uzuri hajaolewa ila ni single mother. Hii nayo ni rushwa ya ngono nikifanikiwa kumla?
muache madam Esther shwain ww
 
wanafunzi ni watamu ukilinganisha na wake za maprofesa wanaovaa madera na kushinda nyumbani kwenye mazizi ya ngombe ,na pia hawajui kuvaa, yani watoto wa chuo wanashawishi sana

Yaani ukiwa lecturer kwa kweli ni mtihani. Warembo wanajiremba vilivyo
 
Mabinti wanachochea sanaa moto , malecturer nao ni binadamu pia, kosa ni kulazimisha tu.
 
wanafunzi ni watamu ukilinganisha na wake za maprofesa wanaovaa madera na kushinda nyumbani kwenye mazizi ya ngombe ,na pia hawajui kuvaa, yani watoto wa chuo wanashawishi sana
😃😃😃ndio maana sijawahi kutamani kuwa lecture au mwalimu....maana ningeweza jikuta nipo nyuma ya bars
 
Back
Top Bottom