Rushwa ni nini?

Rushwa ni nini?

nkungu mwere

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
258
Reaction score
336
Rushwa ni kitendo cha kumzawadia mtu kitu ukiwa na malengo ya kuwezeshwa na mhusika huyo, unamtunuku kiongozi shahada then unamuomba fedha, walahi akikupa hiyo ni SIBIRO (kwa wanaojua tu).
 
Umepotea na sababu ya kupotea ni kuwaza pafupi bila kuongeza ufahamu. Hiko chuo ulichosema ni cha serikali hivyo hakina budi kuomba bajeti serikalini ya kujiendesha na kwa kuwa aliyeombwa ni mkuu Wa serikali, kuna ubaya gani hapo?

ungeeleweka kama hiyo shahada angetunukiwa na chuo cha binafsi na hapohapo mkuu au makamu mkuu Wa chuo akaomba fedha za kujiendesha kutoka serikalini. sometimes you have to think critically and logically for critical and logical issues
 
Dahhh......
Tusi lingine kwa mwamba..teh
 
Back
Top Bottom