Watanzania jamani hasa wa Jamii Forum wana mioyo ya ajabu sana, unaanzaje kumkejeli mtu aliyetoka kwenye maradhi tena makubwa kama hayo ya Figo!!? sawa anatumia dawa za ARV so whaaat? yeye ni wa kwanza au yeye ni wa mwisho? ukoo wako mzima hakuna mwenye hilo tatizo? wewe je unajiona umeyashinda maradhi yote ya ulimwenguni? tujifunze kua na staha waungwana "Duniani hakuna Mwenyeji".