Katika mambo muhimu ni kuwaombea wagonjwa nafuu bila kujali ni nani rafiki au sio rafiki maana sisi sote hatujui mwisho wetu na maradhi ni mengi na hayachagui. unaweza kuumwa jino siku moja tu na ukaacha kutabasamu. sisi tunajiona tukiwa wazima tu lakini kitu chochote katika mwili kikikaa sivyo tu hoi. Ni nchi hii tu huwa tunakebehi watu kakonda sasa lini mtu akaumwa halafu akanenepa? tushukuru Mungu tuna afya na tuwaombee wengine na wale wagonjwa tuwaombee.