Welcome back Boss!!
Fiesta imekuwa kama kampeni za uzinduzi wa promoshen mpya za Tigo!
Hakuna amsha amsha tulozizoea na wale wasanii sasa yaani wamechokaaa!
Huyo naturally ni mwembamba, ila anaonekana yupo frail.
Namfahamu vizuri tangu enzi za Forodhani, anaoshindana nao kawapita sana kiintelijensia labda wawe wengi mno.
Watch this space.