Rudi mpaka utumiwe admission, by UDOM

Mr egm

Senior Member
Jan 24, 2014
153
6
Nimekuja nikiamin kuw nitasaidiw kupata kupata admission letter zaid niliambiwa kuw nirudi kama wenzang fulan wa mwanzoooo mpak nitumiwe barua!
Kingne wakanambia kuw wametumiwa majina 850 hiv na nacte bila kushirikishwa hvo chuo hakina nafas ya kuchukua hao watu.
Wakaongeza kusema watachukua kwanza wa division one and two then wengne baadae ni ktk batch itakayotoka mda wowote ya watu 150!
Tumia busara kuchangia ila Si matusi!
 
Udom Ndio utaratibu wao bila adimision letter hawakupokei nenda tuuu kawasaidie ndugu zako kulima c unaona mvua zinanyesha
 
Kama we ni wa nacte bora utafute shughuli nyingne,hata vijana wa udsm kutoka nacte walipata adha hyo hyo!
 
Ndio muone umuhmu wa kusoma kwa bidii mkiwa secondary..udom kwa hlo wako sahihi kabisa.
 
pole ndugu kwani kw sasa up wap?
Asante niko chuo toka nilipoambiwa nirud na baadh ya watumishi sikufanya hivyo. Naam hatimae Mungu si athuman na kwa usumbf na ujasir wa kuingia kila office nmenjifunza meng na kwa sehem si mgen sana hata!
 
Kama we ni wa nacte bora utafute shughuli nyingne,hata vijana wa udsm kutoka nacte walipata adha hyo hyo!

KAMA WALIKUPANGA UDOM NJOO OFFICE ZA NACTE MJINI DODOMA UKIWA NA DETAILS ZAKO WAAMBIE WAKUPANGE CHUO KNGNE UKWELI UDOM/UDSM WAMESEMA KAM MTU HAYUPO BATCH6 YA MWISHO AENDE NACTE ILI AWE LOCATED KWINGNE MAPEMAAAA MAANA WAO HAWAPOKEI TENA WAMEJAZA TAYARI!
and exactly their serious to this!
 
kama walikupanga udom njoo office za nacte mjini dodoma ukiwa na details zako waambie wakupange chuo kngne ukweli udom/udsm wamesema kam mtu hayupo batch6 ya mwisho aende nacte ili awe located kwingne mapemaaaa maana wao hawapokei tena wamejaza tayari!
And exactly their serious to this!
bora ningekomaa na advance
 
Back
Top Bottom