Ndege kubwa kama hiyo ni lazima iwe na marubani wawili mkuu.. Ila simaanishi kwamba ndo nathibithisha hii habari..Sa kwanini huyo rubani aliyekufa hakupewa jina na wazazi wake wakati anazaliwa..halafu huyo rubani amekufa halafu rubani huyo huyo ametua salama salimini!!!...ama kweli kua uyaone !!
Rubani amefariki kwenye ndege iliyokuwa safarini kutoka Dallas kwenda Albuquerque huko New Mexico, kwa mujibu wa shirika la American Airlines.
Ndege hiyo aina ya Boeng 737-800, ilikuwa imesalia na karibu kilomita tatu kabla ya kutua, wakati nahodha alitangaza suala la dharura, kwa mujibu wa msemaji wa uwanja wa ndege wa Albuquerque
Ndege hiyo ilitua bila ya kisa chochote na hakuna rubani aliyejeruhiwa
Hii Hua inatokea, Kuna jamaa alikua amekodi ndege ndogo kwenda kutalii porini, alikua yeye na rubani Tu,
Rubani Si akafia huko huko angani, jamaa anatoa taarifa chini, ikabidi watume ndege nyingine ili wamuelekeze huyo jamaa mwenyewe aishushe, ulikua balaa, Mungu Mkubwa akafanikiwa kuishusha ingawa kwa Mbinde Sana.
After two weeks anaenda kujifunza urubani. Ipo YouTube, sikumbuki jina lake lakini. Niliiona mwaka Jana mwanzoni.
Imenichanganya kidogo hii lughRubani alikufa angani lakini akatua salama na kujikuta mzima na buheri wa afya.
Sa kwanini huyo rubani aliyekufa hakupewa jina na wazazi wake wakati anazaliwa..halafu huyo rubani amekufa halafu rubani huyo huyo ametua salama salimini!!!...ama kweli kua uyaone !!
Ndege kubwa kama inakuwa na Pilot and Co-pilot so inawezekana Pilot alifariki Co-pilot akachukua nafasi. Kwa upande mwengine inawezekana kati ya Abiria kulikuwepo na Abiria ambae kwa Professional ni Pilot ambae alifariki ndani ya safari hiyoSa kwanini huyo rubani aliyekufa hakupewa jina na wazazi wake wakati anazaliwa..halafu huyo rubani amekufa halafu rubani huyo huyo ametua salama salimini!!!...ama kweli kua uyaone !!