G gkipps Member Joined Dec 29, 2011 Posts 31 Reaction score 3 Mar 25, 2012 #1 jamani,zile nafasi za halmashauri ya wilaya ya ruangwa zilizotangazwa na utumishi walishaita watu kwenye usaili?
jamani,zile nafasi za halmashauri ya wilaya ya ruangwa zilizotangazwa na utumishi walishaita watu kwenye usaili?
frank lujaju Member Joined Aug 21, 2011 Posts 58 Reaction score 4 Mar 25, 2012 #2 gkipps said: jamani,zile nafasi za halmashauri ya wilaya ya ruangwa zilizotangazwa na utumishi walishaita watu kwenye usaili? Click to expand... bado ,kumbuka kufuatilia website ya wizara ya utumishi,wakiita lazima waanike wazi mm pia niliomba kila siku nafuatilia bado hawajaita tuvute subira
gkipps said: jamani,zile nafasi za halmashauri ya wilaya ya ruangwa zilizotangazwa na utumishi walishaita watu kwenye usaili? Click to expand... bado ,kumbuka kufuatilia website ya wizara ya utumishi,wakiita lazima waanike wazi mm pia niliomba kila siku nafuatilia bado hawajaita tuvute subira
M majogajo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 317 Reaction score 44 Mar 25, 2012 #3 nape anakujua?
H hiakaman Member Joined Jun 27, 2011 Posts 40 Reaction score 5 Mar 26, 2012 #4 tembelea sana, www.ajira.go.tz Kuna section call for interview frank lujaju said: bado ,kumbuka kufuatilia website ya wizara ya utumishi,wakiita lazima waanike wazi mm pia niliomba kila siku nafuatilia bado hawajaita tuvute subira Click to expand...
tembelea sana, www.ajira.go.tz Kuna section call for interview frank lujaju said: bado ,kumbuka kufuatilia website ya wizara ya utumishi,wakiita lazima waanike wazi mm pia niliomba kila siku nafuatilia bado hawajaita tuvute subira Click to expand...
C Chief G Member Joined Apr 30, 2012 Posts 8 Reaction score 2 Jun 23, 2012 #5 Nafasi zilishatoka kitambo na watu walishaitwa kazini. Kati ya watu 5 watano walioiwa, ni mmoja tu ameripoti kwan watu wanakasumba kuwa kusini hakufai kuishi. gkipps said: jamani,zile nafasi za halmashauri ya wilaya ya ruangwa zilizotangazwa na utumishi walishaita watu kwenye usaili? Click to expand...
Nafasi zilishatoka kitambo na watu walishaitwa kazini. Kati ya watu 5 watano walioiwa, ni mmoja tu ameripoti kwan watu wanakasumba kuwa kusini hakufai kuishi. gkipps said: jamani,zile nafasi za halmashauri ya wilaya ya ruangwa zilizotangazwa na utumishi walishaita watu kwenye usaili? Click to expand...
C Chief G Member Joined Apr 30, 2012 Posts 8 Reaction score 2 Jun 23, 2012 #6 Hivi Mr selerine upo kweli? Mbona tangu pale magereza resort sikusikii tena?