saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,677
- 7,808
Kila mbunge alitoa ahadi zake jimboni ,nenda kamuulize mbunge wako ahadi zake ziko wapiWaziri mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa. Hajui yeye ni waziri mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja. Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli? Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.
Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara? Amesahau yeye ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Haya mambo waliyaanzisha mawaziri wakuu waliokuwa wanatokea mikoa ya Kaskazini i.e Arusha Klm na ManyaraWaziri mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa. Hajui yeye ni waziri mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja. Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli? Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.
Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara? Amesahau yeye ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Ni waziri mkuu wa Tanganyika tu, Zenj hana nafasi yoyote huyo.Amesahau yeye ni waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Hata ukitaka kufagia unaanza uliposimama,Wokovu unaanzia samaria mpaka mwisho wa nchi
Tochi humulika kuanzia miguuni kwako baada ndio unamulika kwingine
Kuwa mwelewa
Zenji hawezi kumkoromea hata sheha, kamuulize kilichompata Pinda aliposema Zenji sio nchi,Ni waziri mkuu wa Tanganyika tu, Zenj hana nafasi yoyote huyo.
Walimu wengi waliopata ajira juzi wamepangwa Lindi huko nyumbani kwa diblo dibalaWaziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.
Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.
Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli?
Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.
Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara?
Amesahau yeye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Si tulikubaliana kuwa, Chadema walituchelewesha sana kupata maendeleo,nasema uongo ndugu zangu!Waziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.
Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.
Bado nradi wa maji sijui nafikiri Bilioni 500. Kwanini haya mambo ya upendeleo na ubaguzi yameanza wakati wa Magufuli?
Nchi hii haikuwa na mawaziri wakuu kabla? Haya ni matumizi mabaya ya nafasi.
Lini atatembelea wilaya zingine na kupelekea neema ya miradi inayofanana na ambayo amekuwa akiipeleka Ruangwa kila mara?
Amesahau yeye ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Atumikie watanzania wote kwa usawa.
Umeongea kwa uchungu sanaa mkuuMkuu acha tu wajenge kwao,nipo Butiama jioni hii,nimetoka kumuagiza boda maziwa mtindi boda kaniambia huwezi kupata,nimeenda mwenyewe kutafuta,Hakuna duka linalouza mtindi butiama.Naongelea maziwa mtindi guys,Butiama inasikitisha sana.Acha viongozi wajenge kwao.