We wasema hivyo...ungekuepo eneo la tukio ndio ungejua nini kilikuwa kinaendelea.Hivi huyu Shana nani kampa kibali cha kuua? Maana kaua walioiba gari Costa kahama leo tena itv wanataarifu kuuawa waliokuwa guest house wamepumzika eti wanadhaniwa kuwa majambazi.
Tena anajigamba kumpiga risasi zisizo idadi anayesemekana kukimbilia juu ya dari hajatuambia kama naye alikuwa ana "chaji" kama anayedaiwa yule aliyeuawa akiwa nje.
Serikali ya umwagaji damu hainaga baraka,tujifunze kutoka nchi zinazotuzunguka ambapo umwagaji damu ni kwa viongozi na na wakuu wa polisi pia.
Mleta mada na baadhi ya wachangiaji hapo juu kwa hakika pasi na shaka ni MAJAMBAZI.We wasema hivyo...ungekuepo eneo la tukio ndio ungejua nini kilikuwa kinaendelea.
Polisi wamewaua hao majambazi wawili wakiwa katika harakati za kujihami kwa njia ya kujibizana risasi na hao majambazi.
Polisi wangeuwawa sijui hapo ungesemaje. Ungepongeza majambazi au ungesema polisi wanaume wa dar?
Kama umewahi kuvamiwa na kuibiwa na kuuliwa ndugu zako au familia yako sidhani kama ungethubuti kusema unayo yasema.
Acha polisi wafanye kazi yao we tulia kula ugali na pambana na hali yako.
ASANTE
Unakuwa judgemental as if hao waliouawa wamethibitika kufanya huo ujambazi unaodaiwa!We wasema hivyo...ungekuepo eneo la tukio ndio ungejua nini kilikuwa kinaendelea.
Polisi wamewaua hao majambazi wawili wakiwa katika harakati za kujihami kwa njia ya kujibizana risasi na hao majambazi.
Polisi wangeuwawa sijui hapo ungesemaje. Ungepongeza majambazi au ungesema polisi wanaume wa dar?
Kama umewahi kuvamiwa na kuibiwa na kuuliwa ndugu zako au familia yako sidhani kama ungethubuti kusema unayo yasema.
Acha polisi wafanye kazi yao we tulia kula ugali na pambana na hali yako.
ASANTE
Siku wakikutembelea hao unaowatetea na wakawa..... Wanao ndiyo utauona umuhimu was shanaHivi huyu Shana nani kampa kibali cha kuua? Maana kaua walioiba gari Costa kahama leo tena itv wanataarifu kuuawa waliokuwa guest house wamepumzika eti wanadhaniwa kuwa majambazi.
Tena anajigamba kumpiga risasi zisizo idadi anayesemekana kukimbilia juu ya dari hajatuambia kama naye alikuwa ana "chaji" kama anayedaiwa yule aliyeuawa akiwa nje.
Serikali ya umwagaji damu hainaga baraka,tujifunze kutoka nchi zinazotuzunguka ambapo umwagaji damu ni kwa viongozi na na wakuu wa polisi pia.
Kwa hiyo jambazi kukamatwa mpaka awe anafanya uhalifu?Unakuwa judgemental as if hao waliouawa wamethibitika kufanya huo ujambazi unaodaiwa!
Siku na wewe ukigombania hawara na polisi kisha akakufumania guest house uko naye akakutwanga risasi na kukubatiza ujambazi, ndipo utatia akili kama utanusurika kifo!
Huwa anakamata wahalifu hasa hasa matapeli na vibaka ambao hawatumii silaha za moto.Mbona Gilesi Mroto anafanya kazi nzuri ya kukamata watuhumiwa wengi lakini hatujasikia kaua mtu??
Ni sawa lakn ukiingia kwenye anga zake utaona kama ana haki au hana haki....ameua wangapi yeye?? Tafakari mkuu cyo siasa kwebye uhalisia.Jambazi pia ana haki yake,tujifunze kuheshimu haki za wengine.
Tuheshimu utawala wa sheria, hata kama wakinitembelea wakamatwe wapelekwe mahakamani ndivo utawala wetu aliotuachia Mwl Nyerere RIP unavotuagiza.Siku wakikutembelea hao unaowatetea na wakawa..... Wanao ndiyo utauona umuhimu was shana
Comment yako haina maana inapingana na kazi na wajibu wa kazi ya polisi.Kwa hiyo jambazi kukamatwa mpaka awe anafanya uhalifu?
Au ulitaka waende wakavamie kwanza ndipo polisi waanze kujibizana nao kwa risasi?
Ngoja siku ukivamiwa ndo utaelewa vizuri comment yangu.
ASANTE
uliwahi kusikia/kufatilia kesi ya zombe na wenzake. kama ujawahi fanya kuuliza alafu uje uchangie upya hapa.We wasema hivyo...ungekuepo eneo la tukio ndio ungejua nini kilikuwa kinaendelea.
Polisi wamewaua hao majambazi wawili wakiwa katika harakati za kujihami kwa njia ya kujibizana risasi na hao majambazi.
Polisi wangeuwawa sijui hapo ungesemaje. Ungepongeza majambazi au ungesema polisi wanaume wa dar?
Kama umewahi kuvamiwa na kuibiwa na kuuliwa ndugu zako au familia yako sidhani kama ungethubuti kusema unayo yasema.
Acha polisi wafanye kazi yao we tulia kula ugali na pambana na hali yako.
ASANTE
Hakuna anayeruhusiwa kuua awe jambazi awe polisi, uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu hakuna mwingine mwenye haki ya kwenda kinyume na hili labda awe mpagani au mfuasi wa Lucifer mpinga Mungu.Ni sawa lakn ukiingia kwenye anga zake utaona kama ana haki au hana haki....ameua wangapi yeye?? Tafakari mkuu cyo siasa kwebye uhalisia.