RPC Mwanza ni Comedy asiyejitambua

Serious! Si ...to?
 
Fuatilia sakata la mfanya biashara ya madini wa Lindi kilimtokea nini kule Mtwara ukiachilia mbali wale wafanya biashara wa madini wa kule Mahenge kabla haujaulizia alipo huyo mfanya biashara wa Mwanza.
 
sio comedy andika comedian
 
Na
Naangalia picha mtandaoni Polisi wanavyovunja watu, wanavyosukuma watu, utadhani ni watu wameua,
Nasikia vimeua😭😭,kwakweli hili halikubaliki.Umma utaamuha hatimae ya Nchi hii.Kuna ujinga mkubwa Sanaa unafanyika! Hivi Chademaa nao wakuwahofia mpaka kumwaga Damu za watuu wakati 74%ya Raia wa Vijijini ni CCM. Binafisi ningetoa ulinzii chadema wakafanya mambo yao fresh.Binadamu ukiwanyanyasa Sanaa huchoka na kuamua kwa garama yayote kutafutaa uhuru.

Kwa mfumo huu wa uendeshaji nchii,Serikali ndio Namba Moja kuelekea kuhatarisha Amani ya Taifa.Trust me wakimudu kuthibiti raia 2025,ninauhakika mpaka 2030 kitawakaa haswaaa.Haki ndio Amani Taifa lisi loo oendeshwa kwa Haki ni jambo la mdaa tu kinawakaaa!
 

Wakiungana na RC wa Mwaza watafika mbali kwenye kuchekesha eeeh
 
Kila mtu anamsifu shetani kwa wakati wake, nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…