T The Priest JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,029 Reaction score 259 Jun 17, 2011 #1 Aliyekuwa mkuu wa polisi mkoa wa kilimanjaro Lucas ng'hoboko,amefariki ghafla wakati akikimbizwa hospital ya kcmc leo asbh,mkuu huyo wa polisi alikuwa amestaafu wiki 2 zilizopita na alikuwa bado hajakabidhi ofisi kwa RPC mpya..source Radio one.
Aliyekuwa mkuu wa polisi mkoa wa kilimanjaro Lucas ng'hoboko,amefariki ghafla wakati akikimbizwa hospital ya kcmc leo asbh,mkuu huyo wa polisi alikuwa amestaafu wiki 2 zilizopita na alikuwa bado hajakabidhi ofisi kwa RPC mpya..source Radio one.
StaffordKibona JF-Expert Member Joined Apr 21, 2008 Posts 669 Reaction score 62 Jun 17, 2011 #2 RIP Paul
Chimemena JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,376 Reaction score 454 Jun 17, 2011 #3 Hakika kwa mwenyezi mungu sote tutarejea. R.I.P
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jun 17, 2011 #4 Aristaaf kabla ya kukabidhi ofisi!
T The Priest JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,029 Reaction score 259 Jun 17, 2011 Thread starter #5 Gama said: Aristaaf kabla ya kukabidhi ofisi! Click to expand... naambiwa alikuwa bado kwny hiyo nafasi ya rsp,na anayechukua nafas yake hajaripot kw ofisi,angalia nipashe la jana..
Gama said: Aristaaf kabla ya kukabidhi ofisi! Click to expand... naambiwa alikuwa bado kwny hiyo nafasi ya rsp,na anayechukua nafas yake hajaripot kw ofisi,angalia nipashe la jana..
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,885 Reaction score 1,510 Jun 17, 2011 #6 The Priest said: naambiwa alikuwa bado kwny hiyo nafasi ya rsp,na anayechukua nafas yake hajaripot kw ofisi,angalia nipashe la jana.. Click to expand... Inakuwaje mpk mtu anastaafu hajatafutwa mtu mwinge wa kuchukua nafasi? au ndo yale yale ya fulani kutafutiwa nafasi..... huu ni upuuzi
The Priest said: naambiwa alikuwa bado kwny hiyo nafasi ya rsp,na anayechukua nafas yake hajaripot kw ofisi,angalia nipashe la jana.. Click to expand... Inakuwaje mpk mtu anastaafu hajatafutwa mtu mwinge wa kuchukua nafasi? au ndo yale yale ya fulani kutafutiwa nafasi..... huu ni upuuzi