Chuo Cha taaluma za afya ROYONA kilichopo Nyegezi-Majengo mapya na kilichosajiliwa na NACTE (Usajili na. REG/HAS/155P) na chenye wakufunzi wenye uzoefu wa kufundisha vyuo vikuu vya afya sasa kinatoa kozi ya Maabara ngazi ya cheti (NTA level 5). Chuo kitafunguliwa mwezi Novemba 2015.
Tunapokea waliomaliza kidato cha nne (form IV) wenye D nne katika masomo ya science tu, na kuwafundisha ujuzi wa uhakika wa maabara.