Kuna message nimetumiwa muda si mrefu,nimeona nilete hapa JF Doctor angalau mwenye kujua zaidi atupatie somo!!
SMS
Kuna ugonjwa wa tumbo umeingia kwa watoto age between 1 to 5yrs and even to 10 yrs na hospital zote hapa hawaujui.
Watoto wawili wa kike waliokua wanasoma na mwanangu wamekufa,Mmoja kafa wiki mbili zilizopita at the age of 4 na Isabella kafa jana saa 8 mchana at the age of 5.
Finaly nimefanikiwa kujua ni nini,unaitwa Rotavirus,nenda kwa google usome. Please fwd to all mums and dads.
Mwisho wa SMS