U Udaa JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 724 Reaction score 109 Jun 11, 2012 #1 Wakuu naombeni kufahamishwa,wale watangazaji wawili wa kike wa Radio One.ROSE CHITARA NA ASIA MOHAMED wapo wapi?maana kitambo sn hewani siwapati.NAWASILISHA
Wakuu naombeni kufahamishwa,wale watangazaji wawili wa kike wa Radio One.ROSE CHITARA NA ASIA MOHAMED wapo wapi?maana kitambo sn hewani siwapati.NAWASILISHA
K kaeso JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 548 Reaction score 97 Jun 11, 2012 #2 Wewe unawatakia nini wake za watu? Rose Chitala alikuwa 100.5 Times FM huyo Asia Mohamed watakueleza wanaomfahamu.
Wewe unawatakia nini wake za watu? Rose Chitala alikuwa 100.5 Times FM huyo Asia Mohamed watakueleza wanaomfahamu.