Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 850
Unashangaa hapa Tanzania kuna baadhi ya maeneo wanapewa upendeleo wa kila aina ya mradi lakini kwetu huku Rorya mambo tafrani.
Toka nizaliwe miaka 50 hapa Rorya hatuna maji,hatuna barabara ya lami hata mita 1,ardhi yetu haijapimwa pia tumehathirika na wizi wa mifugo hasa ng'ombe uliokuwa unafanywa na wakurya kwa baraka za serikali ya CCM.
Nasema hivyo kwa sababu serikali hii inajua kuwa jamii ya Kiluo ni jamii ya kifugaji,wakulima sasa tutalima vipi wakati hatuna maksai?
Tunachoomba ni FIDIA MAANA KAZI YA SERIKALI NI KUTULINDA PAMOJA NA MALI YETU.Hivyo nasi tunaomba fidia kama wananchi wa kule Manyara ambao mifugo yao ilikufa na riftvalley fever na kufidiwa kwani hata kwetu huku riftvalley iliua sana mifugo lakini hakuna anayetujali.
Nasi tunataka mgawo wa keki ya taifa kama sehemu zingine.Nimesema kama liwalo na lije.