canular JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 1,087 Reaction score 1,317 Aug 21, 2019 #1 Wakuu wa jf habarin za mida,wakuu mwenye kujua jinsi ya kuroot infinix hot 6pro anisaidie nimejaribu baada ya kufata mlolongo wote lakini haikubali nafeli wapi? Wajuzi mnielekeze [emoji120]
Wakuu wa jf habarin za mida,wakuu mwenye kujua jinsi ya kuroot infinix hot 6pro anisaidie nimejaribu baada ya kufata mlolongo wote lakini haikubali nafeli wapi? Wajuzi mnielekeze [emoji120]